Tetesi: Dkt. Kalemani kupewa mifugo huku Ndaki akipigwa chini

Hakuna aliyewahi kupatia teuzi zozote za Rais Samia so acha uzushi..

Mwisho hii tabia ya kubadilisha badilisha Mawaziri haina afya,waachwe kwa mda wa kutosha wafanye maono yao..
Nadhani wahusika waliotajwa humu wakisikia hizi tetesi hata moral ya kufanya kazi na kufikiri kwa ajili ya ubunifu inashuka hata ingekua mimi.

Mambo hayaeleweki, unakuta waziri anakaa kwa wasiwasi ofcn inakua ni bora apige zake pesa tu πŸ˜ŠπŸ˜†πŸ€£

msiwalaumu akina Mwigulu,nafasi hua hazielewekagi hizo
 
Hii nchi hata Yes akija kuwa Waziri bado haisadiii kitu,
 
Mabadiriko hayo pia yatagusa baadhi ya wizara na ikitabiriwa bwana January Makamba atahamishiwa wizara ya madini huku anayehudumu madini bwana Biteko atahamishiwa nishati.
Hapa umechemka. January haondoki hapo na Kalemani hana chake
 
Mwigulu ni tumaini la Watanzania mkuu hivyo ni lazima awemo [emoji51][emoji51][emoji51]
Ana nini cha pekee hata awe na tumaini la watanzania wote. Au familia yake anaiita Tanzania?

"Kuna wakati, kila nikitaka kung'atuka, watu wanakuja wananiambia, unajua Mwalimu ukiacha wewe kuwa Rais nchi hii itaendaje? Baadaye nikaja kugundua kuwa, kummbe nchi wanayoisema ni familia. Wana mashaka akija Rais mwingine kama watakuwa katika nafasi waluzopo" - Mwalimu Nyerere.
 
Wakati wa Mwalimu, hususani miaka ya 1961-1969 Tanzania haikuwa na wasomi wengi.
Kwa hiyo Rais alipata shida kuteua Baraza la mawaziri, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya, Na RDD na ma DDD (Siku hizi wanaitwa Na RAS na DAS),wakuu wa Taasisi mbalimbali nk
Lakini miaka hii, Tanzania Ina wananchi wengi Wana elimu ya kutosha, lakini Mamlaka ya uteuzi,inashindwa kuteua watu sahihi wenye ubunifu wa kuisaidia Tanzania, kuleta Maendeleo endelevu.
Tunakwama wapi? Utakuta Mamlaka ya uteuzi inawaacha na kuwarejeshea walewale,kwa sababu ya technical know who badala ya technical know how.
Kwa utaratibu huu, Maendeleo yatakuwa ni ndoto,kwa sababu wateule wengi hawana mtizamo/mawazo mpya/ubunifu/mikakati ya kutatua masuala kulingana na hali halisi ya maisha au ulimwengu wa sasa.

Ushauri
-Serikali iwe inaandaa vijana wabunifu Ili waje kushika madaraka siku za usoni kwenye nafasi mbalimbali.
-sekta za taaluma za kisayansi na technolojia ni vema wakaandaliwa wanasayansi/technolojia kuja kuziongoza, badala ya kuweka watu ambao hawana misingi ya sayansi
 
Hivi muongo mujarubi hawamuoni? Lakini nimeuliza tu
 
Stop nonsense speculations
 
Nchi hii ina wasomi wengi mno na wenye uwezo.

Sijui kwanini tunahangaika na watu wale wale ambao uwezo wao nachelea kusema umegota kwani hawawezi kuja na suluhu ya matatizo yetu kama Taifa kwa kipindi kirefu mno.

Tunahitaji kubadilika jamani.
 
ACHA KUPIGA RAMLI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…