Tetesi: Dkt. Kalemani kupewa mifugo huku Ndaki akipigwa chini

Wapiga ramli wana duru zao huko ikulu 🤣🤣🤣🤣
 
Sawa
 
Ingependeza kama na yule Mbunge aliyekuwa CEO wa CRDB angejaribiwa hasa kwenye wizara ya fedha.
 
Hakuna aliyewahi kupatia teuzi zozote za Rais Samia so acha uzushi..

Mwisho hii tabia ya kubadilisha badilisha Mawaziri haina afya,waachwe kwa mda wa kutosha wafanye maono yao..
Eti waachwe, pathetic,unafikiri kila mteule ana maono?,wengine ni fadhila tu
 
Abaki hukihuko hatumtaki bwana February
 
Kweli umechemsha kwenye huu uzi.
Yaani February aende madini! Huyo anafaa aende Naibu wa tamisemi.
 
Duru zinasemaje pande hizo za magogoni?
 
UMESIKIA wapi?
 
Huyo January Makamba aondolewe kabisa aisee, Hataweza popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…