Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa


Ukikifahamu kiingereza kwa uzuri hutashindwa kusikiliza na kuelewa anachoongea mzungu awe mmarekani au mwingereza na wazungu wengine.

Kwenye kiingereza ukifahamu hiyo grammar kama anavyosema mmoja wetu hapo juu basi wewe utakuwa wakitafuna tu.

Cha msingi ni ule mfumo wake wa kanuni kwamba wafahamu kuunda maneno, sentesi na kauli kwa kutumia lugha yako ya asili.
 
Mkuu kama ume note lisu siku hizi hata akiandika kitu mtandaoni anaandika kwa lugha ya kingereza! Unajiuliza huyu ana agenda gani?

Huwa nasema kila siku hapa huyu Amsterdam anazidi kumaharibia Lisu ila wafuasi wa Lisu hawaelewi.
Hakuna hoja ya msingi hapa
 
Kamati ya maadili imesheheni wanasheria wabobezi 15 na Dr Kavishe ni Katibu wa kamati so usimchukulie kizembezembe!
Wabobezi gani? Nawajua hata kwa majina, hamna kitu pale, yani NEC na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni za kufuta na kuundwa upya.
 
Yaani mwenzio ana phd nawe wamwona mtupu kichwani kwasababu ya kisiasa tu!

Wajameni!!
PhD haimpi mtu akili, sina chama ila kuna uhuni unapaswa ufanyike kweli magenge ya kangara na siyo kwenye Ofisi za Umma.
 
Mgombea mwingine ameropoka ya kuropoka ametoa ubaguzi waziwazi hajaulizwa wala kushauriwa Ku acha kusa ndio aluowateua hao wala bure kodi zetu wanajiita NEC ....na Kamishna wao kibao tuuu nyamvafuuuui
Hakuna sheria yakuishtaki tume mahakamani naonakuna kuna mgombea wachama cha magufuli anawataisha watu nakuondoa haki yakuchagua nakuchaguliwa kwa kusema msipo mchagua silinde sileti maji tume haioni wapiga kura wanalzimishwa ndicho mnachokitaka au ndiomnacho simamia
 

Huyo mwakilishi wa CHADEMA ni nani?

Alitumwa na nani kumwakilisha Mgombea? Kanuni na maadili zinasema hivyo?

Mbona hii inakuwa yale yale ya kufoji barua kumng'oa Meya Boniface Jacob manispaa ya Ubungo kwa kumtumia mwanachama kiongozi feki wa CHADEMA?
 
Huyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?

Yani anafikia hatua ya kutukana taasisi za nchi yetu kisa Lisu?

Ana maslahi gani huyu na Lisu wake?
Ameajiriwa na Lissu kama mwamasheria wake!Una lingine?
 
Acha ujinga hakuna watanzania wenye ujasiri wa kupambana na mtutu bado hawajazaliwa
Nakujibu kiheshima mie sio mtu wa matusi mkuu hakuna mjinga hapa,tatizo Jana waiona ni leo na kesho ni kesho kutwa wenye akili wameelew,hivyo kwa kua mie mjinga niache na ujinga wangu,naona unajitoa ufaham
 
Kusimamia as mishwa Lissu Ni moja ya ujinga wa hali ya juu was tume ya uchaguzi , matendo , Kauli soizotoa Jiwe kwenye kampeni hii kama haki ingetendeka asingekuwa mhombea tena , Jiwe katoa Kauli za hovyo , katoa rushwa , kaagiza ujenzi wa barabara , katumia lugha ya kisukuma , kafanya ubaguzi , uchochezi , kafokea watu amevunja sheria na kanuni za uchaguzi nyingi sana , sasa ipo siku mtajibu .
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu

Mungu kumbuka chozi langu dhidi ya mja wako Lissu nililotoa wakati ameumizwa.Endelea kumlinda,kumbariki Na kumpa nguvu.

Amen
 
Tz yangu kwanza ,wagombea urais wote badae, urais hausomewi ni ridhaa ya wananchi basi kwa mjibu wa katiba hivyo rais yeyote na toka chama chocho kwangu sawa so far hakuna machafuko ,maisha magum tulisha zoea na hakuana kiongozi wa kuniletea chakuala kwangu lazima nitoe jasho kulisha familia yangu full stop
 
Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,

Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Hawana ubqvu wa kumtoa. Wajaribu waone, chatoboy atawekwa kwenye cage kama Bashir
 
Kavishe ni mwepesi sana. Subiri Lissu awachezeshe ngoma. Lissu anawataftia gogoro zito la kidiplomasia kama hamna habari....this time mmekalia kuti kavu. Lissu Lissu Lissu dawa ya utawala mbaya wa magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…