Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Uko sahihi kabisa wachache hawawezi kukosekana.
Pia inategemeana na exposure ya mtu husika. Kadiri unavyokutana na watu wa sehemu tofauti tofauti na kuishi nao au hata ukiwa mfatiliaji mzuri wa vipindi vyao vya television unajifunza namna zao wanavyoongea kiingereza na hivyo unakuwa na uwezo wa kuwasikiliza na kuelewa waongeacho.
Ukikifahamu kiingereza kwa uzuri hutashindwa kusikiliza na kuelewa anachoongea mzungu awe mmarekani au mwingereza na wazungu wengine.
Kwenye kiingereza ukifahamu hiyo grammar kama anavyosema mmoja wetu hapo juu basi wewe utakuwa wakitafuna tu.
Cha msingi ni ule mfumo wake wa kanuni kwamba wafahamu kuunda maneno, sentesi na kauli kwa kutumia lugha yako ya asili.