Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Kavishe ni mwepesi sana. Subiri Lissu awachezeshe ngoma. Lissu anawataftia gogoro zito la kidiplomasia kama hamna habari....this time mmekalia kuti kavu. Lissu Lissu Lissu dawa ya utawala mbaya wa magufuli
Lisu amepatikana bwashee!
 
Huyo dk kavishe anashikiwa akili na mahera na wajinga wenzake,arudi rombo akanywe viroba
 
[emoji16] [emoji2] [emoji1]
Your browser is not able to display this video.
 

Pumbavu. Nimemsikia Kavishe usiku huu akiongea tbccm kwa jazba na hofu Kama mtu anayeogopa kutahiriwa. Ngoja sasa mtaalamu Lissu apangue huu ulofa wa mawazo. Jiwe amekiuka maadili waziwazi na makubwa. Ngoja meza ipinduliwe heshima ijengwe upya.
 
Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama english language grammar yake haiko vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Kwani amsterdam ni wapi?haya kachukue jezi ya yanga si ina atlas uangalie ramani ya dunia
 
Dkt. Kavishe ebu tupiapo kapicha upo na wawakilishi wa Tundu Lissu. Nyie chezeni na petroni mbugani kuna watu wana viberiti. Sijui mnatafuta nini. Na kwanini mnafanya vitu sirini?
 

- lkn WAZUNGU kwa kawaida hawatutakii mema ! Usipokua makini kwa kiwango cha MAGUFULI wataiba kila kitu...
 

Taifa lina maslahi gani kwenye haya jamani?
 

Wawakilishi wa Lissu walikuwa kina nani? Au ni kina chakubanga?

Hukumu gani au kesi gani huendeshwa dhidi ya mtuhumiwa bila yeye kuwapo au akiwakilishwa na wawakilishi wasiojulikana?

Hukumu ya hiyo kamati ni ya kupuuza.
 

Tangu lini kosa la mtu mwingine analokanusha akakiri mwakilishi?

Huyu naye atakuwa daktari wa jalalani kama yule propesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…