MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,885
Nahisi umejaza chupi huelewi kituSawa basi amepewa adhabu nenda kalalamike kwa beberu Robwrt Amsterdam!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi umejaza chupi huelewi kituSawa basi amepewa adhabu nenda kalalamike kwa beberu Robwrt Amsterdam!
We Dr kavishe hivi unajua unamponza Mkurugenzi wako live live!!Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hujui ulichoandika!Subiri NEC waendelee kufanya ujinga wanaofanya uone maafisa wake pamoja na familia zao watafanyiwa nini!Ask Ass Robert Amsterdam that the NEC suspension is invalid under which law? By the way Robert is not registered to exercise his legal duties in Tanzania, therefore what is commenting is just rubbish!!
Maskini Mkurugenzi weee!!Hahah mtuamini tutatenda hakiiiiiiiiiiii.View attachment 1588534
Kikwetu mwanamama akiweka weka rangi nyekundu, tunajua tu yupo zile safari za kiutu uzima za anga la mbali! Akiwa huko, hata akiongea chochote tunajua ni madhila ya safari tu, akimaliza maisha yanaendaje!Waulize waliomtetea TL .... .... khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tatizo lenu mnakurupuka.
Unaongea pumba gani hizi mkuu?!Tokea lini mwanasheria akamfund mteja wake?!Yaani mimi niwe na mwanasheria wangu halafu kazi yake iwe ni kunifund mimi?!Unamaanisha bob na wenzake ndo wanao m fund lissu.
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwani wewe unamjuwa bob vizuri kuliko anavyomjua lissu? Kuwa mwanasheria haimaanishi ndo kuwa hauna hela au connection ya kupata hela .punguza upimbi wewe hata haujui lissu na huyo hawala yake wamekokotana naye wapi na wamekuabaliana nini .Unaongea pumba gani hizi mkuu?!Tokea lini mwanasheria akamfund mteja wake?!Yaani mimi niwe na mwanasheria wangu halafu kazi yake iwe ni kunifund mimi?!
Thubutu yake! Muda huu vinyeo vya wana Lumumba vinapwita.Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,
Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Mkuu acha kukurupuka kutia makosa watu na lugha mama zao.Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama hajui english language vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Nimekuuliza maswali mawili hapo juu,haya ndiyo majibu yake?Ninyi ndiyo mnafanya CCM inaonekana ni chama cha aibu na chama cha mambumbumbu!Inawezekana vipi unaulizwa swali halafu unatoa jibu strange kama hili?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?!Unamtetea pop nilisahau Kumbe nyie ndio WAZEE WA FARAGHA ...hahaha mtetee
Mkuu acha kukurupuka kutia makosa watu na lugha mama zao.
Kiingereza chako cha kukaririshwa shuleni pekee hakiwezi kufua dafu kwa watu waliokulia na kuishi ktk nchi ambazo English ndio lugha kuu kama huko US.
Ficha ujinga wako.
Ilimwandikia barua nani sasa Mbowe au?Tume haijamwita Tundu Lissu acha upumbavu wenu.
LISSU anatetea USHOGA unafikiri anaweza kuwa na MWANASHERIA asietetea USHOGA unapotetea jambo maana unalishiriki au unamanufaa naloNimekuuliza maswali mawili hapo juu,haya ndiyo majibu yake?Ninyi ndiyo mnafanya CCM inaonekana ni chama cha aibu na chama cha mambumbumbu!Inawezekana vipi unaulizwa swali halafu unatoa jibu strange kama hili?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atulie anyolewe kwa chupa yeye na mteja wake,Unaongea nini wewe?Yaani mwanasheria uchaguzi unamuhusu nini?!Hakuna wakati ambao sheria pamoja na haki za binadamu huwa zinavunjwa kama wakati wa uchaguzi
Wewe huna tofauti na uporo wa wali ndondo kabisa!Unawezaje kuongea vitu ambavyo huna ushahidi navyo wala huwezi kuthibitisha?Unaweza kuthibitisha kuwa huyo bob ni funder wa Lissu?Unaelewa kuwa kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho na ambacho huwezi kuthibotisha inakuwa ni porojo tu na kupotezea watu muda wao?Kwani wewe unamjuwa bob vizuri kuliko anavyomjua lissu? Kuwa mwanasheria haimaanishi ndo kuwa hauna hela au connection ya kupata hela .punguza upimbi wewe hata haujui lissu na huyo hawala yake wamekokotana naye wapi na wamekuabaliana nini .
Kwa hiyo akiwa native english speaker makosa uliyoona kwa macho yako wewe ndio yatakuwa yamefutika?Huyo jamaa ni native english speaker?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ataishia kulia huko TwitterHujui ulichoandika!Subiri NEC waendelee kufanya ujinga wanaofanya uone maafisa wake pamoja na familia zao watafanyiwa nini!