Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
We Dr kavishe hivi unajua unamponza Mkurugenzi wako live live!!
 
Ask Ass Robert Amsterdam that the NEC suspension is invalid under which law? By the way Robert is not registered to exercise his legal duties in Tanzania, therefore what is commenting is just rubbish!!
Hujui ulichoandika!Subiri NEC waendelee kufanya ujinga wanaofanya uone maafisa wake pamoja na familia zao watafanyiwa nini!
 
Waulize waliomtetea TL .... .... khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tatizo lenu mnakurupuka.
Kikwetu mwanamama akiweka weka rangi nyekundu, tunajua tu yupo zile safari za kiutu uzima za anga la mbali! Akiwa huko, hata akiongea chochote tunajua ni madhila ya safari tu, akimaliza maisha yanaendaje!
 
Hahahahahahahah Eti hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya Taifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Unaongea pumba gani hizi mkuu?!Tokea lini mwanasheria akamfund mteja wake?!Yaani mimi niwe na mwanasheria wangu halafu kazi yake iwe ni kunifund mimi?!
Kwani wewe unamjuwa bob vizuri kuliko anavyomjua lissu? Kuwa mwanasheria haimaanishi ndo kuwa hauna hela au connection ya kupata hela .punguza upimbi wewe hata haujui lissu na huyo hawala yake wamekokotana naye wapi na wamekuabaliana nini .
 
Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,

Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Thubutu yake! Muda huu vinyeo vya wana Lumumba vinapwita.
 
Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama hajui english language vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Mkuu acha kukurupuka kutia makosa watu na lugha mama zao.

Kiingereza chako cha kukaririshwa shuleni pekee hakiwezi kufua dafu kwa watu waliokulia na kuishi ktk nchi ambazo English ndio lugha kuu kama huko US.

Ficha ujinga wako.
 
Unamtetea pop nilisahau Kumbe nyie ndio WAZEE WA FARAGHA ...hahaha mtetee
Nimekuuliza maswali mawili hapo juu,haya ndiyo majibu yake?Ninyi ndiyo mnafanya CCM inaonekana ni chama cha aibu na chama cha mambumbumbu!Inawezekana vipi unaulizwa swali halafu unatoa jibu strange kama hili?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?!
 
Mkuu acha kukurupuka kutia makosa watu na lugha mama zao.

Kiingereza chako cha kukaririshwa shuleni pekee hakiwezi kufua dafu kwa watu waliokulia na kuishi ktk nchi ambazo English ndio lugha kuu kama huko US.

Ficha ujinga wako.

Huyo jamaa ni native english speaker?
 
Nimekuuliza maswali mawili hapo juu,haya ndiyo majibu yake?Ninyi ndiyo mnafanya CCM inaonekana ni chama cha aibu na chama cha mambumbumbu!Inawezekana vipi unaulizwa swali halafu unatoa jibu strange kama hili?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?!
LISSU anatetea USHOGA unafikiri anaweza kuwa na MWANASHERIA asietetea USHOGA unapotetea jambo maana unalishiriki au unamanufaa nalo
 
Unaongea nini wewe?Yaani mwanasheria uchaguzi unamuhusu nini?!Hakuna wakati ambao sheria pamoja na haki za binadamu huwa zinavunjwa kama wakati wa uchaguzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atulie anyolewe kwa chupa yeye na mteja wake,

Yani mtu unakuja na vibeberu vyako unataka ndio vikusaidie kuingia Ikulu yetu ya Tanzania hii aliyoipigania NYERERE?
 
Kwani wewe unamjuwa bob vizuri kuliko anavyomjua lissu? Kuwa mwanasheria haimaanishi ndo kuwa hauna hela au connection ya kupata hela .punguza upimbi wewe hata haujui lissu na huyo hawala yake wamekokotana naye wapi na wamekuabaliana nini .
Wewe huna tofauti na uporo wa wali ndondo kabisa!Unawezaje kuongea vitu ambavyo huna ushahidi navyo wala huwezi kuthibitisha?Unaweza kuthibitisha kuwa huyo bob ni funder wa Lissu?Unaelewa kuwa kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho na ambacho huwezi kuthibotisha inakuwa ni porojo tu na kupotezea watu muda wao?
 
Huyo jamaa ni native english speaker?
Kwa hiyo akiwa native english speaker makosa uliyoona kwa macho yako wewe ndio yatakuwa yamefutika?

Labda la msingi ainisha makosa yake ktk sentensi zake na uoneshe alitakiwa aandike vipi (usahihi).
 
Lissu Ni msomi pekee anaeitumia taaluma yake ipasvyo , huyu mwamba sijui alisoma mtaala upi Yani, Lissu the great
 
Hujui ulichoandika!Subiri NEC waendelee kufanya ujinga wanaofanya uone maafisa wake pamoja na familia zao watafanyiwa nini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ataishia kulia huko Twitter
 
Back
Top Bottom