Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hao waliomtetea Lissu ni kwa sababu ya mapenzi yao binafsi siyo kwa sababu Lissu kawatuma wamtetee. Lissu angeweza kujitetea mwenyewe kama shauri lingefuata sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo akiwa native english speaker makosa uliyoona kwa macho yako wewe ndio yatakuwa yamefutika?
Labda la msingi ainisha makosa yake ktk sentensi zake na uoneshe alitakiwa aandike vipi (usahihi).
Lisu ana hela za kumlipa Amsterdam? Au amweka rehani rasilimali zetu?Unaongea pumba gani hizi mkuu?!Tokea lini mwanasheria akamfund mteja wake?!Yaani mimi niwe na mwanasheria wangu halafu kazi yake iwe ni kunifund mimi?!
Rudi kajibu kwanza ile hoja yangu juu ya ubeberu uliyoikimbia mchana.Bado nasubiria majibu kutoka kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atulie anyolewe kwa chupa yeye na mteja wake,
Yani mtu unakuja na vibeberu vyako unataka ndio vikusaidie kuingia Ikulu yetu ya Tanzania hii aliyoipigania NYERERE?
Hao wawakilishi ni kwa mujibu wa sheria zipi za uchaguzi?Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mbona hakwenda sasa kujitetea? Si alijiona anajua sheria kuliko mtu yeyote hapa tz?Hao waliomtetea Lissu ni kwa sababu ya mapenzi yao binafsi siyo kwa sababu Lissu kawatuma wamtetee. Lissu angeweza kujitetea mwenyewe kama shauri lingefuata sheria
Inasemaje kuhusu ubeberu?Rudi kajibu kwanza ile hoja yangu juu ya ubeberu uliyoikimbia mchana.Bado nasubiria majibu kutoka kwako
Huyu ni K kabisa yeye anajifanya anatujua sana watz[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
Maisha ya Lissu unayajua kiasi kwamba una uhakika kuwa Lissu hawezi kumlipa Amsterdam?Unaweza kuthibitisha kuwa Lissu hawezi kumlipa Amsterdam kama siyo porojo tu unaongea na kupotezea watu muda wao kwa porojo zako?Lisu ana hela za kumlipa Amsterdam? Au amweka rehani rasilimali zetu?
Mara ngapiTL yeye si bingwa, aingie kwenye kampeni chacha aone cha moto.
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nkKatibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Vipi hii ??Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Acha kukimbia hoja, elezea makosa yake ya kilugha na kisha useme usahihi alitakiwa aandike vipi (kama kweli wewe umeiva English kihivyo kama unavyotaka kutuaminisha hapa jamvini)Basi kama ni native english speaker atakuwa kaandikiwa hiyo post na non-native speaker kwani hayo makosa ya kigrammar hata mtoto wa shule ya msingi native speaker hawezi kufanya sembuse huyo loya?
Nilikuuliza inawezekana vipi kukejeli watu ambao wanafund miradi ya maji,umeme,afya,barabara,etc kuwa ni mabeberu wakati hata budget yetu zaidi ya asilimia 60 inawategemea wao,lakini uliingia mitiniInasemaje kuhusu ubeberu?
Acha kukimbia hoja, elezea makosa yake ya kilugha na kisha useme usahihi alitakiwa aandike vipi (kama kweli wewe umeiva English kihivyo kama unavyotaka kutuaminisha hapa jamvini)
Huyu ndiye Robert, amezaliwa New York (US), kakulia na kusomea Canada na anaishi London (Uingereza).
Halafu wewe mmakonde wa Ntwara (Uswahilini) wataka kujitia kumdogesha ktk lugha yake mama.
View attachment 1588557
Mkuu tume inaweza kufanya hivyo,na je ikifanya hivyo what next, ? Je mafuriko ya watanzania kwake wakikataa mtaweza kuwazuia kwa njia gani!!!? lissu mpaka mda huu anajeshi kubwa la mafuriko ya watanzania ,unafikili ni chombo gani Cha ulinzi chaweza kukubali upuuzi Kama huu,watu hawalali juu ya nchi yao Leo eti tume ifanye mzaa wa kubet na amani ya nchi alafu waichekee,watakatalowa kweupe nakwambia , hao wanaviapo vyao juu ya nchi Wala sio chama chochote au mtu yoyote,japo kwa namna moja au nyingine wanaweza fanya fair tu kwa Mambo madogomadogo ila si maslahi mapana ya taifaLisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,
Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Hiyo ni Lumumba squad hiyo wala huhitaji kuhoji hiloHuyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama hajui english language vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Lisu ni kibarakaKwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!Bila wazungu ni hakuna miradi ya maendeleo Tanzania kama vile miradi ya maji,umeme,shule,afya,barabara,etc
Hao wawakilishi hawana majina?Wawakilishi hewa? Kama Katibu ambaye walimpelekea hiyo barua kinyume na utaratibu aliwagomea kuipokea sasa hao wawakilishi waliwaokota wapi?
Pumbavu kabisa.