Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Hao waliomtetea Lissu ni kwa sababu ya mapenzi yao binafsi siyo kwa sababu Lissu kawatuma wamtetee. Lissu angeweza kujitetea mwenyewe kama shauri lingefuata sheria
 
Kwa hiyo akiwa native english speaker makosa uliyoona kwa macho yako wewe ndio yatakuwa yamefutika?

Labda la msingi ainisha makosa yake ktk sentensi zake na uoneshe alitakiwa aandike vipi (usahihi).

Basi kama ni native english speaker atakuwa kaandikiwa hiyo post na non-native speaker kwani hayo makosa ya kigrammar hata mtoto wa shule ya msingi native speaker hawezi kufanya sembuse huyo loya?
 
Unaongea pumba gani hizi mkuu?!Tokea lini mwanasheria akamfund mteja wake?!Yaani mimi niwe na mwanasheria wangu halafu kazi yake iwe ni kunifund mimi?!
Lisu ana hela za kumlipa Amsterdam? Au amweka rehani rasilimali zetu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atulie anyolewe kwa chupa yeye na mteja wake,

Yani mtu unakuja na vibeberu vyako unataka ndio vikusaidie kuingia Ikulu yetu ya Tanzania hii aliyoipigania NYERERE?
Rudi kajibu kwanza ile hoja yangu juu ya ubeberu uliyoikimbia mchana.Bado nasubiria majibu kutoka kwako
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hao wawakilishi ni kwa mujibu wa sheria zipi za uchaguzi?
Sie ni waumini wa sheria ni sii maagizo yawe yametoka juu au chini.
 
Hao waliomtetea Lissu ni kwa sababu ya mapenzi yao binafsi siyo kwa sababu Lissu kawatuma wamtetee. Lissu angeweza kujitetea mwenyewe kama shauri lingefuata sheria
Mbona hakwenda sasa kujitetea? Si alijiona anajua sheria kuliko mtu yeyote hapa tz?

Hivi mnafikiri Lisu anapobwatuka alafu hajibiwa ni kuwa watu hawajui ila yeye tu ndio anajua au?
 
Lisu ana hela za kumlipa Amsterdam? Au amweka rehani rasilimali zetu?
Maisha ya Lissu unayajua kiasi kwamba una uhakika kuwa Lissu hawezi kumlipa Amsterdam?Unaweza kuthibitisha kuwa Lissu hawezi kumlipa Amsterdam kama siyo porojo tu unaongea na kupotezea watu muda wao kwa porojo zako?
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Vipi hii ??
tapatalk_1601609543249.jpeg
 
Basi kama ni native english speaker atakuwa kaandikiwa hiyo post na non-native speaker kwani hayo makosa ya kigrammar hata mtoto wa shule ya msingi native speaker hawezi kufanya sembuse huyo loya?
Acha kukimbia hoja, elezea makosa yake ya kilugha na kisha useme usahihi alitakiwa aandike vipi (kama kweli wewe umeiva English kihivyo kama unavyotaka kutuaminisha hapa jamvini)

Huyu ndiye Robert; amezaliwa New York (US), kakulia na kusomea Canada na anaishi London (Uingereza). Nchi zote hizo wanatafuna kiingereza, hakuna kiswahili wala lugha za kkkabila.

Halafu wewe mmakonde wa Ntwara (Uswahilini) wataka kujitia kumdogesha ktk lugha yake mama.
========
SmartSelect_20201002-202120_Chrome.jpg
 
Inasemaje kuhusu ubeberu?
Nilikuuliza inawezekana vipi kukejeli watu ambao wanafund miradi ya maji,umeme,afya,barabara,etc kuwa ni mabeberu wakati hata budget yetu zaidi ya asilimia 60 inawategemea wao,lakini uliingia mitini
 
Acha kukimbia hoja, elezea makosa yake ya kilugha na kisha useme usahihi alitakiwa aandike vipi (kama kweli wewe umeiva English kihivyo kama unavyotaka kutuaminisha hapa jamvini)

Huyu ndiye Robert, amezaliwa New York (US), kakulia na kusomea Canada na anaishi London (Uingereza).

Halafu wewe mmakonde wa Ntwara (Uswahilini) wataka kujitia kumdogesha ktk lugha yake mama.
View attachment 1588557

Basi labda kaandikiwa na non native english speaker na hakusoma kabla ya kupost kwa maana kuna makosa ya kigrammar ambayo hayawezi kufanywa na native speaker hata siku moja achilia mbali huyo loya, I mean loya native speaker wa english language hawezi kuandika kiingereza kama hicho kama mtoto anayejifunza grammar, ...
 
Lisu yeye anafikri anaogopwa na anajua kila kitu,

Asipoangalia atatolewa kwenye kampeni kabisa
Mkuu tume inaweza kufanya hivyo,na je ikifanya hivyo what next, ? Je mafuriko ya watanzania kwake wakikataa mtaweza kuwazuia kwa njia gani!!!? lissu mpaka mda huu anajeshi kubwa la mafuriko ya watanzania ,unafikili ni chombo gani Cha ulinzi chaweza kukubali upuuzi Kama huu,watu hawalali juu ya nchi yao Leo eti tume ifanye mzaa wa kubet na amani ya nchi alafu waichekee,watakatalowa kweupe nakwambia , hao wanaviapo vyao juu ya nchi Wala sio chama chochote au mtu yoyote,japo kwa namna moja au nyingine wanaweza fanya fair tu kwa Mambo madogomadogo ila si maslahi mapana ya taifa
 
Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!Bila wazungu ni hakuna miradi ya maendeleo Tanzania kama vile miradi ya maji,umeme,shule,afya,barabara,etc
Lisu ni kibaraka
 
Back
Top Bottom