Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona.

Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla.

Ramadan Kareem!

Maendeleo hayana vyama.
 
Asee huitakii mema nchi hii.
Ina maana hakuna madaktari wengine hadi aje kigwangala?

Kwanza Ummy Ni kiongozi mzuri sana.Nakupenda sana Ummy,hongera kwa Kazi nzuri mama.Mungu azidi kukupa hekima na nguvu uendelee kufanya vizuri .

Nakupenda Ummy johnthebaptist,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamshindwa Kigogo ndo awezane na corona?....try to be serious brother
 
Bora magufuli arising kuliko Ummy, maana yeye anafata anachoambiwa na Mapombe.
 
Back
Top Bottom