Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

huyu anayeshinda twitter kuwavunja mioyo ya upambanaji raia na majivuno kama yote?aaaaaaaaaaaaaaaahggggggggggggggrrrrrr
 
Corona haijapatiwa dawa wala chanjo ila kuuondoa utawala uliopo kwa KUSHINDWA kuwalinda Wananchi na kupuuza Pandemia hii

Sisi Watanzania hatuna imani tena na Serikali hii
Nitajie nchi ambayo imelinda wananchi wake na hawajaathirika na corona duniani.
 
Nitajie nchi ambayo imelinda wananchi wake na hawajaathirika na corona duniani.
Kumbuka chief wakati Uganda na Kenya na Rwanda walipokuwa wana kesi za corona sisi tulikuwa hatuna hata moja

Kwa uzembe na ujinga tukaacha korona iingie na leo tunaongoza
Wakati huohuo Kiongozi mkuu wa nchi ati anaenda likizo Nyumbani kwake chatu
 
Back
Top Bottom