Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

johnthebaptist,
Pale kuna naibu Dr. Ndungulile... wanatosha kabisa. Pia wameletewa Prof. Daktari wa binadamu. Hongera sana JPM
 
Hujui maana ya leadership.
Huyo Kigwangala aliwahi kuwepo hiyo wizara na mchango wake mkubwa ilikuwa ni kusimama getini kusubiri wachelewaji.
 
Ivi Mi nashangaa Kitengo kama kile anapewa Mwanasheria ilikuaje?
 
Ndio maana jana hakulala tetemeko lilipandisha hadi bp mimi naamini madhambi yanamuandama
 
Kwani Ummy Mwalimu wajibu gani hajatimiza? Shida ipo juu kabisa sio ummy
 
Tatizo liko sehemu moja. Hata umpe Nani wizara lakini hao wote wanamsikiliza jiwe. Hakuna atakayeweza kuamua jambo yeye Kama yeye tofauti na kile alichoamua jiwe.
 
Back
Top Bottom