Torch
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,200
- 1,121
Kuna watu makini pale Manyerere Jackton na yule mwezake.
Dkt. Kigwangalla akiendelea kulifuatilia hili gazeti, atapoteza Uwaziri wake. Angekuwa anaona mbele angekaa kimya.
Hili gazeti Mlione tu kama lilivyo. Mfikishieni ujumbe.
Alianza Mwiguu, akaja January Makamba na sasa ni Zamu ya Kigwangalla. Ila alijitahidi kufanya kazi tangu alipokuwa Wizara ya Afya.