KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Tuache kwanza pembeni "alivyopangilia hoja na anavyowasilisha"..., mimi ningeshukuru sana aniambie anatumia dakika ngapi kuiandika saini hiyo, na ningeshukuru akaweka sampuli ya pili hapa ili nilinganishe na hiyo ya kwanza kama zinafanana.Huyo wakili aliyeandika hii barua nimemkubali alivyopangilia hoja na anavyowasilisha na sain yake hiyo...
Nadhani huyu na Donald Trump ni ndugu wa tumbo moja.