Dkt. Kigwangalla akiendelea kulifuatilia hili gazeti, atapoteza Uwaziri wake. Angekuwa anaona mbele angekaa kimya.
Hili gazeti Mlione tu kama lilivyo. Mfikishieni ujumbe.
Alianza Mwiguu, akaja January Makamba na sasa ni Zamu ya Kigwangalla. Ila alijitahidi kufanya kazi tangu alipokuwa Wizara ya Afya.
Lazima kutakuwa na ukweli, Kigwa lazima atakuwa amevuta pesa ndegu kwenye hii kampuni, alivyopata uwaziri wa utalii aliiandama sana hii kampuni kwa kudai ilikuwa inashirikiana na Nyalandu kuhujumu rasilimali za utalii na ilipewa vitalu kwa upendeleo na kutaka Nyalandu achukuliwe hatua za kisheria, lakini gafla kawa kimya na kuunga mkono vizuri sana kazi za kampuni hii , jamaa wa ccm ni walafi wa rushwa hata viongozi wa juu wanalijua hili.
Baadaye kesi itabadilishwa na badala yake gazeti la jamhuri litaonekana limekwepa Kodi na kutakatisha fedha
Baadaye kesi itabadilishwa na badala yake gazeti la jamhuri litaonekana limekwepa Kodi na kutakatisha fedha
Huyu ni mmoja wapo ya mawaziri wa hovyo sana. Magufuli amekosea sana kumpa uwaziri.
Linamilikiwa na vibaraka wa maccm
Kila mwenye akili anajua hilo soon tutasikia mtu mfupi katengua uteuziBasi hiyo ipo planned na kigwa muda siyo mrefu ataonyeshwa mlango wa kutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu makini pale Manyerere Jackton na yule mwezake.
Aliombaje mkuu sikuipata hii?Manyerere Jacton alieomba whysk ikulu Ila Nchi hii ina mambo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Principal ya huyo jamaa anapenda kuwa na watu wasio na uwezo ili aonekenea yy ndio mwenye akili
Sent using Jamii Forums mobile app