johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali
Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄
Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?
Wanajibishana Ukurasani X
Jumaa Mubarak 😀