Dkt Kigwangalla amfokea Elon Musk na kumwambia " Government by design thrives on inefficiency, technocracy and sluggish processes", so DOGE si lolote!

Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali

Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄

Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?

Wanajibishana Ukurasani X

Jumaa Mubarak 😀
Dr KH is terribly having severe episodes of Grandiose delusions, akitoa ushirikiano, akapata tiba na ushauri nasaa, anaweza pona na akawa a more productive citizen :3Dance:
 
Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali

Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄

Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?

Wanajibishana Ukurasani X

Jumaa Mubarak 😀
Time will tell. These billionaires are so bloated that they no longer remember how they got rich in the first place. Heavy government spending is a tremendous economic stimulus in America!
 
Tumuombee sana Hamis ana kitu kikubwa sana ndani yake
Trump akiona hii elim Hamis anampa Elon lazima atamteua awe mshauri wake

Trump anahitaji watu kama Hamis
Hamis ni hazina kubwa sana kwa ccm .
 
Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali

Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄

Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?

Wanajibishana Ukurasani X

Jumaa Mubarak 😀
Mwafrika ni nyani ayepata maarifa ya kuvaa nguo. Huyu nyani alishindwa hata kuwapatia huduma wanawake wanaozaa anataka kubishana na Elon?
 
Huyo Hamisi kwa ubadhirifu aliofanya wizara ya maliasili na utalii anadhani tumesahau?

DOGE ingekuwepo Tanzania watu wa jinsi yake wangekuwa nyuma ya nondo kwa sasa.
DOGE inakuja mapema sana, punde CCM itakapotolewa madarakani.

Hata wale waliokula fedha za "stimulus package" miaka ilee nao watafikiwa tuu.
 
Back
Top Bottom