Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikojibia KigwaElon amejibu wapi?
Subiri Gen Z watakuwekea 😀Ka video au ka skrini shoti basi kusapoti hii post
Sijajua Hata huo ubunge huwa anaupataje? 😂Nchi tajiri kama US inayoweza afford kwenda bila kujali wanajitahidi kukabiliana na inefficiency, kisha anatokea mlima mpunga toka dunia ya tatu na kuanza kuhubiri inefficiency na slugish process. Nchi yake ndiyo ilikuwa iwe mbele kukabiliana na mambo hayo.
Huyo Hamisi ana hallucinations,wivu na udumavu wa akili.Ana alergy na matajiri.Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali
Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄
Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?
Wanajibishana Ukurasani X
Jumaa Mubarak 😀
Katakuwa kanaendaga kwa waganga kuloga.Sijajua Hata huo ubunge huwa anaupataje? 😂
Jamani acheni kutupotezea muda sasa kigwa na musk wapi na wapi..Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali
Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄
Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?
Wanajibishana Ukurasani X
Jumaa Mubarak 😀
Acha uongo mzee Mgaya, weka charts zao hapa tuone kama kweli huyu Elon kamjibu kigwa.Asingejua angejibishana naye? 😀😀
Anatafuta kick kishambaMgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali
Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄
Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?
Wanajibishana Ukurasani X
Jumaa Mubarak 😀
Tuende mdogo mdogo DOGE itatupasua ubongo.Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali
Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space 😄
Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?
Wanajibishana Ukurasani X
Jumaa Mubarak 😀
Una akili sana 😄Tuende mdogo mdogo DOGE itatupasua ubongo.
Elon huwa na kawaida ya kureply mtu yoyote tu kwe ukurasa wake wa X ikiwa ataweka Hoja then wewe ukajibu hoja yake vinzuri huwa anareply haijarishi wewe ni naniElon amejibu wapi?