Dkt Kigwangalla amfokea Elon Musk na kumwambia " Government by design thrives on inefficiency, technocracy and sluggish processes", so DOGE si lolote!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea Urais 2015, Waziri mstaafu na Mbunge wa CCM Dr Kigwangalla baada ya kumshindwa tajiri Namba 1 Nchini MO Dewji kwenye mkopo wa Pikipiki Sasa ameingia kwenye Ligi na Tajiri Namba 1 duniani Elon Musk kuhusu Ufanisi wa serikali

Musk ndiye Mkuu wa Department Of Government Efficiency ya Marekani na Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space πŸ˜„

Je, Kigwangalla ambaye naye alikimbia udaktari Muhimbili Ili avune mahela ya Bure kwenye Siasa atamuweza Musk kwenye haya malumbano?

Wanajibishana Ukurasani X

Jumaa Mubarak πŸ˜€
 
Musk anajua kuna mtu anaitwa kigwangala?
 
Musk hawezi hangaika na HK kwanza hamfahamu
 
Huyu Bagalile au?
 

Attachments

  • 20250213_210241.jpg
    44.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…