Dkt Kigwangalla amfokea Elon Musk na kumwambia " Government by design thrives on inefficiency, technocracy and sluggish processes", so DOGE si lolote!

Nchi tajiri kama US inayoweza afford kwenda bila kujali wanajitahidi kukabiliana na inefficiency, kisha anatokea mlima mpunga toka dunia ya tatu na kuanza kuhubiri inefficiency na slugish process. Nchi yake ndiyo ilikuwa iwe mbele kukabiliana na mambo hayo.
 
Hata kama ana hoja na analosema ni ukweli lakini sisi walipa Kodi tunamlipa kushughulikia matatizo within; sasa kabla hajafanya hivyo sidhani kama ana muda wa kutosha kushauri ya huko mbali...; Hayo atuachie sisi ambao hatuchukui Kodi ya wenye nchi...
 
Sijajua Hata huo ubunge huwa anaupataje? πŸ˜‚
 
Huyo Hamisi ana hallucinations,wivu na udumavu wa akili.Ana alergy na matajiri.
CC;Mo Dewji aione kwenye jalada kwa ajili ya kutoa mchango wa kumpeleka daktari akatibiwe kwa mganga wa kienyeji.
 
Jamani acheni kutupotezea muda sasa kigwa na musk wapi na wapi..
 
Musk Tajiri namba moja Duniani na mmoja wa watu wenye ushawishi kwa sasa kwenye serikali ya Marekani, aache kupoteza muda na huyu mpiga ramli wa Nzega anayeamini kwenye miujiza na mafanikio kupitia ajira ya CCM na serikali ya CCM.
 
Anatafuta kick kishamba
 
Tuende mdogo mdogo DOGE itatupasua ubongo.
 
Elon amejibu wapi?
Elon huwa na kawaida ya kureply mtu yoyote tu kwe ukurasa wake wa X ikiwa ataweka Hoja then wewe ukajibu hoja yake vinzuri huwa anareply haijarishi wewe ni nani
ndio mana kuna mda watu huwa wanasema ni robot ndio anajibu si yeye

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…