Dkt Kigwangalla amfokea Elon Musk na kumwambia " Government by design thrives on inefficiency, technocracy and sluggish processes", so DOGE si lolote!

Ni vzr katoa sumu mwilini lkn size ya kigwangalla iko eneo lidilovuka Tabora
 
Nimesoma comments zote kwenye hii post, sijaona hata moja inayopinga, kujadili, au kufafanua hoja ya msingi ya Kigwangala ambayo ni "Government by design thrives on inefficiency, technocracy and sluggish processes" !!
Badala yake watu wanamjadili Kigwangala mwenyewe!
Wasomi wetu wa Uchumi, Political Science, na taaluma zingine zinazohusiana na hilo mko wapi?
Kwa kweli tuna kazi sana.
 
Dr Kigwangalla anaona Musk hajui lolote kuhusu SIASA na anamshauri abakie kwenye Masayansi yake ya Space
Kigwangala hana jipya.
Kwani kujua siasa kunaleta tija gani?
Mbona wanasiasa wa Tanzania na nchi nyingi zabAfrika wamefeli kwa kila jambo miaka yote?

Kigwangala akumbushwe tu kuwa hata rais Trump mwenyewe siyo mwanasiasa lia lia, ni billionea kama Elon ingawa hamfikii
 
Toka anyimwe Bodaboda na Tajiri wa Tanzania huyu jamaa ana makasiriko sana na matajiri πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😼😼😼!
 
Kwani huyo Masiki na Kigwalagwala wamekutania wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…