Dkt. Kigwangalla kushauri "Herd Immunity" dhidi ya Corona, ndio msimamo wa Serikali?

Dkt. Kigwangalla kushauri "Herd Immunity" dhidi ya Corona, ndio msimamo wa Serikali?

suicide mission

ecuador,italy,spain na wuhan yenyewe ziko njiani

na wenye mamlaka wameingia chaka.
 
Hakika watu wa Lumumba... kuanzia viongozi na wafuasi wao wote akili zao za hovyo!!

Yenyewe inataka kufanya coronavirus iwe ni sehemu ya maisha ya Watanzania kabla hawajafanya jitihada za kudhibiti maambukizi!!

Yaani yanakurupuka tu na kutaja nchi zinazotaka kuachia lockdown kama justification eti na zenyewe zinataka kuwa kama Tz... very stupid!!

Wanajidanganya hayo bila ya kufahamu wenzao waliweka lockdown ili kudhibiti ugonjwa usisambae sana, na hatimae wana mpango wa kulegeza restrictions kwa sababu wanaona kuna maeneo maambukizi yanashuka, na ndio maana wanafikiria kulegeza restrictions!

Spain kwa mfano ambayo inaongoza vifo Ulaya, hatimae hali inatengemaa na sasa wanafikiria kulegeza restrictions!!

Kuna Walevi wa Lumumba wanajilinganisha na South Korea huku wakisahau discipline kubwa ya wananchi kuishi kulingana na hali iliyopo... discipline ambayo kwa Tanzania HAIPO!!

Na Magufuli asichojua ni kwamba, hata kama dunia mzima maisha yataendelea bado Tanzania itachukuliwa kama radioactive country... itaendelea kuogopwa na wageni!

Utalii unaopigiwa upatu lazima utaendelea kuathirika sana kwa sababu sio tu Watalii wao binafsi watahofia kuingia Tanzania bali hata nchi zao kama Marekani zitaendelea kutoa tahadhali kwa wananchi wake kutokwenda Tanzania kwa sababu itaonekana bado sio salama!!

Kila mwenye akili timamu duniani anafahamu Tanzania ni moja ya nchi ambazo hazijafanya jitihada za maana kudhibiti ugonjwa usienee!!

Badala yake, viongozi wanaongelea watu wakubaliane na hali huku wakiacha kuchukua hatua za maana kudhibiti kusambaza kwa virus!

Na kwa jinsi walivyo wajinga wanadhani kutotoa updates za maambukizi itafanya watu waamini hakuna maambukizi kumbe hapa wanauthibitishia ulimwengu kwamba hatupo serious kwenye hii vita, na kwamba tunaficha takwimu!!

Balozi za nchi kubwa zilizopo Tz zote zina watu ambao moja ya kazi zao ni kutafsiri daily newspapers... Kwahiyo wanafahamu nini kinaendelea inside out hata kama Kiswahili hawakijui!!

Zile maiti zinazookotwa tayari watu wana taarifa zake!

So, staili hii ya kujificha kama mbuni anayeacha kiwiliwili chote nje na kudhani amejificha ni suicide!!!

Watalii watakuwa na confidence ya kwenda mahali kama South Africa ingawaje reported cases ni zaidi ya mara 10 ya Dar kuliko kuingia Tz kunakoonekana hakuna maambukizi!!

Mathalani, leo hii mamlaka za SA zikisema Capetown HAKUNA kabisa maambukizi, Watalii wataamini hata kama Johannesburg mamia kwa mamia watakuwa wanakufa!!

Sasa kuna mtalii gani ataamini taarifa za JPM kwamba norther circuit hakuna maambuki kwahiyo Watalii waendelee kwenda tu?!
Samahani, maiti zimeokotwa wapi hapa Tanzania?
Ni za waathirika Wa covid19?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo umeanza mapem sana..au ulikua shift ya usiku..wanaLumumba mzee wa buku 7.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe upo Dunia gani? Mbona kila siku tunaona update kwenye mitandao ya Kitaifa na kimataifa. Wewe ukiandika update Covid-19 itakuonesha.
Serikali ipo Makini kuhakikisha watu wake wapo salama salimini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herd immunity ni mapaka angalau 80-90% ya watu wawe infected. sasa Huwezi jua outcome ya infection hiyo! Wanaweza kufa 50 ya hiyo 90%! Is that fair kwa wananchi wako?
Haha unaniuliza mimi ulimaliza kusoma nachoandika? mtafute Kigwangalla umulize hilo swali. Siungani na herd immunity sio kwa ugonjwa huu
 
Kwa taarifa nchi nyingi duniani zinajipanga kwenda kwenye "herd immunity". Ujerumani, Uingereza, Marekani, Korea Kusini, China wameishaanza kwenda kwenye " herd immunity ". Hata Italia nao wanalifikiria hilo. Kwa maoni yangu, itabidi nchi nyingi, ikiwemo Tanzania itabidi tuelekee huko kwasababu ugonjwa huu hauishi leo na maisha lazima yaendelee.
 
View attachment 1433011

Hamis Kigwangala ambaye ni daktari wa afya ameandika meengi katika mtandao wake wa instagram. Kwa tafsiri rahisi ni kwamba anashauri herd immunity.

Kutokana na mwenendo wa serikali katika mapambano dhidi ya corona Je,huu ndio msimamo wa serikali?

Mbona maambukizi mapya hayatangazwi,mbona vifo havitangazwi. Upuliziaji wa dawa ya kuua virus huko Dar es Salaam mbona umesitishwa?

Naomba kuwasilisha hoja
kwa hiyo tweeter tu huyo mhe. anachokitafuta atakipata..
 
But it's rumoured that we Africans are immune, So no need of vaccine..Herd immunity is there to stay in Africa,just naturally.
 
Herd immunity inakuja pale ambapo watu wengi wameugua wakapona, mwili wao umejifunza jinsi ya kupambana na hicho kirusi ili kikirudi tena mtu haugui, kinga ya mwili inashinda mapema tu.

Tatizo sasa ni moja, herd immunity inafaa kwa magonjwa ambayo ukiugua ukapona mwili unajenga kinga ya huo ugonjwa kwa muda mrefu, miezi kadhaa hadi miaka, tatizo la korona ni kua hatujui immunity inakaa muda gani baada ya mtu kupona, kama iingekua muda mrefu basi sawa ila kama inakaa siku chache alafu inapotea herd immunity haiwezi fanya kazi, utakua ukipona baada ya wiki huna kinga unaupata tena.

Kama daktari nilitegemea afikirie kitu kama hicho sio kukurupuka na kutoa solution moja huku anajua sio complete solution. Na hii hua ni last option, mkiwapelekea wazee wenu haka kaugonjwa kwa sababu tu nyie hakawezi kuwaua mkae mjue wao watakufa mapema tu, watanzania wengi umri 50+ wana afya mgogoro, hawafanyi mazoezi, wanakula daily chakula kilekile tu ugali, nyama kibao, unakuta mtu ana tambi limejaa utadhani ana minyoo tani nzima kabeba.
Inaonekana huo ndiyo uamuzi wao kuwa watakaopata na kushindwa ku survive wafe na wale the fittest wa survive(that's Law of the Jungle). Kwa sasa hakuna takwimu tena bali ni maziko tu mpaka usiku.

Jisaidie mwenyewe pasipo kusubiri usaidiwe cha kufanya na then tumwombe Mungu atusaidie.
 
But it's rumoured that we Africans are immune, So no need of vaccine..Herd immunity is there to stay in Africa,just naturally.
Although African Americans are minority in most infected states in USA but Corona mortality is very very high if you compare majority white race.
Dont mess up with Covid-19, just follow cardinal rule of engagement which is social distancing.
 
Inaonekana huo ndiyo uamuzi wao kuwa watakaopata na kushindwa ku survive wafe na wale the fittest wa survive(that's Law of the Jungle). Kwa sasa hakuna takwimu tena bali ni maziko tu mpaka usiku.

Jisaidie mwenyewe pasipo kusubiri usaidiwe cha kufanya na then tumwombe Mungu atusaidie.
Kuelezea herd immunity ni nini haimaanishi naungana nayo, natoa definition watu wasiojua ni nini waelewe, acha ushamba uwe unajitahidi kusoma kitu ukaelewa sioi kukurupuka tu.

Huyo mungu wenu mlifunga siku tatu kuomba hajawasaidia hadi leo unadhani atakuja kuwasaidia sasa hivi? kila kitu mungu mungu haha aliyeletwa na wazungu? au waarabu? Endeleeni kuuchezea huu ugonjwa mtakwisha.
 
Kujamiiana siyo kusocialize Mkuu. Huwezi kutoka kujamiana ukasema nimetoka kusocialize na demu wangu. Kujamiiana ina maana nyingine kabisa. Labda kama umeamua kutumia tafsiri SISISI.

Ila socialize [emoji116]

Socialize- jamiisha.
Hivyo kusocialize ni kujamiishana.

Lugumya.
Kiswahili cha neno socialize ni kujamiiana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani hayo ndo mawazo ya dokta.......we are finished...ina maana tumekosa kabisa mtu wa kututetea....
 
Waziri anawaza kukosa michongo kutoka kwa Paul Jonhs wa Singida Grumet Reserve kule Natta-Biggo Serengeti.

Viongozi wetu hata tukifa wote ila wao hela ikaendelea kuingia kwenye mfuko usio rasmi (Wrong pocket) ni sawa.

Jamaa anawaza madili ya Utalii lakini sio Afya za watu. Ila kuwa wote pua zinaangalia chini, chepe itatuhusu tu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herd immunity has https://jamii.app/JFUserGuide’d up the UK. In a country with poor healthcare system and facilities like Tanzania, herd immunity will gang bang us hard!
 
Back
Top Bottom