Dkt. Kigwangalla kushauri "Herd Immunity" dhidi ya Corona, ndio msimamo wa Serikali?

suicide mission

ecuador,italy,spain na wuhan yenyewe ziko njiani

na wenye mamlaka wameingia chaka.
 
Samahani, maiti zimeokotwa wapi hapa Tanzania?
Ni za waathirika Wa covid19?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo umeanza mapem sana..au ulikua shift ya usiku..wanaLumumba mzee wa buku 7.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe upo Dunia gani? Mbona kila siku tunaona update kwenye mitandao ya Kitaifa na kimataifa. Wewe ukiandika update Covid-19 itakuonesha.
Serikali ipo Makini kuhakikisha watu wake wapo salama salimini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herd immunity ni mapaka angalau 80-90% ya watu wawe infected. sasa Huwezi jua outcome ya infection hiyo! Wanaweza kufa 50 ya hiyo 90%! Is that fair kwa wananchi wako?
Haha unaniuliza mimi ulimaliza kusoma nachoandika? mtafute Kigwangalla umulize hilo swali. Siungani na herd immunity sio kwa ugonjwa huu
 
Kwa taarifa nchi nyingi duniani zinajipanga kwenda kwenye "herd immunity". Ujerumani, Uingereza, Marekani, Korea Kusini, China wameishaanza kwenda kwenye " herd immunity ". Hata Italia nao wanalifikiria hilo. Kwa maoni yangu, itabidi nchi nyingi, ikiwemo Tanzania itabidi tuelekee huko kwasababu ugonjwa huu hauishi leo na maisha lazima yaendelee.
 
kwa hiyo tweeter tu huyo mhe. anachokitafuta atakipata..
 
But it's rumoured that we Africans are immune, So no need of vaccine..Herd immunity is there to stay in Africa,just naturally.
 
Inaonekana huo ndiyo uamuzi wao kuwa watakaopata na kushindwa ku survive wafe na wale the fittest wa survive(that's Law of the Jungle). Kwa sasa hakuna takwimu tena bali ni maziko tu mpaka usiku.

Jisaidie mwenyewe pasipo kusubiri usaidiwe cha kufanya na then tumwombe Mungu atusaidie.
 
But it's rumoured that we Africans are immune, So no need of vaccine..Herd immunity is there to stay in Africa,just naturally.
Although African Americans are minority in most infected states in USA but Corona mortality is very very high if you compare majority white race.
Dont mess up with Covid-19, just follow cardinal rule of engagement which is social distancing.
 
Kuelezea herd immunity ni nini haimaanishi naungana nayo, natoa definition watu wasiojua ni nini waelewe, acha ushamba uwe unajitahidi kusoma kitu ukaelewa sioi kukurupuka tu.

Huyo mungu wenu mlifunga siku tatu kuomba hajawasaidia hadi leo unadhani atakuja kuwasaidia sasa hivi? kila kitu mungu mungu haha aliyeletwa na wazungu? au waarabu? Endeleeni kuuchezea huu ugonjwa mtakwisha.
 
Kujamiiana siyo kusocialize Mkuu. Huwezi kutoka kujamiana ukasema nimetoka kusocialize na demu wangu. Kujamiiana ina maana nyingine kabisa. Labda kama umeamua kutumia tafsiri SISISI.

Ila socialize [emoji116]

Socialize- jamiisha.
Hivyo kusocialize ni kujamiishana.

Lugumya.
Kiswahili cha neno socialize ni kujamiiana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani hayo ndo mawazo ya dokta.......we are finished...ina maana tumekosa kabisa mtu wa kututetea....
 
Waziri anawaza kukosa michongo kutoka kwa Paul Jonhs wa Singida Grumet Reserve kule Natta-Biggo Serengeti.

Viongozi wetu hata tukifa wote ila wao hela ikaendelea kuingia kwenye mfuko usio rasmi (Wrong pocket) ni sawa.

Jamaa anawaza madili ya Utalii lakini sio Afya za watu. Ila kuwa wote pua zinaangalia chini, chepe itatuhusu tu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herd immunity has https://jamii.app/JFUserGuide’d up the UK. In a country with poor healthcare system and facilities like Tanzania, herd immunity will gang bang us hard!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…