Dkt. Kigwangalla kushauri "Herd Immunity" dhidi ya Corona, ndio msimamo wa Serikali?

..anasema " 'tujamiiane' kwa kuzingatia social distance..."

..nadhani mheshimiwa hajui maana ya neno "kujamiiana."

Aliyekuambia na Kukudaganya kuwa kila Mtu ukisikia tu ni Medical Doctor kama Yeye huyo basi ana Akili Kubwa ni nani Ndugu?
 
..kwenye nchi za wenzetu Mh.Dr.Kigwangala angelazimishwa kujiuzulu kutokana na hiki alichoandika.

Sio tu kujiuzulu, angeweza hata kunyanganywa leseni ya udaktari au kutolewa kwenye vyama vyao ikiwa ni mwanachama.

Hawa ndio wanafanya sie tuliogoma kwenda shule tusijutie maamuzi yetu.

Tunaweza kumlaumu mkubwa anavyopambana na hili janga kumbe tatizo ni hawa watalaam wa hii kaliba wanaomshauri.

Haya ni madini kutoka kwa mwanascholar mwenye PhD, au nimekosea?
 
Ngoja umpate ndo atatia akili. Herd immunity wakati huduma za hovyo?Hauna vaccines,social gathering inaendelea. Ngonja tuone mwisho wake. Mungu nilinde nione mwisho wa hilo waliloliamua. Ngonja mawaziri wafe ndo hawa viongozi watatia akili.
 
Ushauri mzuri,tuchukue kuwa ndio maisha ili tuweze kwenda mbele,vinginevyo tutakuwa na vifo vya ina tatu,njaa,umasikini na corona yenyewe...
 
Ushauri makini kwamba COVID-19 itabadili tabia na desturi katika maisha ya binadamu.

Kuanzia sasa Barakoa litakuwa moja ya vazi mhimu kwa binadamu, kama zilivyo nguo za ndani, ikiwa ni pamoja na kutakasa mikono. Mabadiliko haya, katika maisha ya binadamu, yatapunguza kwa kiasi kikubwa magonjwa ya kuambukiza.
 
Although African Americans are minority in most infected states in USA but Corona mortality is very very high if you compare majority white race.
Dont mess up with Covid-19, just follow cardinal rule of engagement which is social distancing.
It's so because the majority of blacks live in abject poverty,addicted to alcoholism and drug trafficking...The kind of food they take in also matters..It's different from we Africans,we eat natural food which is a prerequisite for strong immunity and gaining physical strength... Also our lifestyle seems to be favourable over this pandemic though we shouldn't relax...We have to follow what's being said by health officials and also adhere to those rules imposed upon us by the government concerning this tiny virus.
 
..anasema " 'tujamiiane' kwa kuzingatia social distance..."

..nadhani mheshimiwa hajui maana ya neno "kujamiiana."
Social distance ambayo inapendekezwa ni mita tatu. Ni wazi hiyo hairuhusu kujamiiana kama inavyoeleweka kwa wengi. Lakini anachoelezea hapa ni social intercourse au social interaction ambayo ameitafsiri kama kujamiiana. Hivyo kujamiiana inaweza kuwa ni sexual intercourse katika masuala ya ngono au social intercourse katika mawasiliano ya kijamii.
 
Huu ushauri anaoutoa angalia corona isipite naye jumla jumla akifikiria kuwa yeye ni waziri Yuko exceptional badala atoe ushauri, yeye ana suggest natural selection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herd immunity ni nzuri sana kwa sababu itamaliza vigogo wote ambao wamefanya uzembe katika janga hili!
 
Ni rahisi sana kupendekeza hivi kama huna tatizo la kupumua. Ukiwa nalo pendekezo litakuwa la kupigania chanjo ipatikane.
 
..anasema " 'tujamiiane' kwa kuzingatia social distance..."

..nadhani mheshimiwa hajui maana ya neno "kujamiiana."
Maada yoooote we umeona kwenye kujamiiana tu!. hahahaaaha wa bongo noma
 
Sioni tatizo katika nilicho andika naona kama hujaelewa, badala yake unatukana, sina akili ya kumtukana mtu. Soma tena vizuri kwa makini nilicho andika, nilikuwa naungana na wewe na kuwasema wafanya maamuzi na mwisho nika conclude kuwa watu wanapaswa kujisaidia wenyewe namna ya kupambana na hili janga na mwisho wamwombe Mungu kwani Mungu anasema jisaidie nikusaidie.
 
Kwa ufupi ni kwamba ugonjwa utazoeleka immunity itakuwepo (tatizo ambalo halisemwi ni kwamba uzembe utapelekea watu tuwapoteze ambao huenda wasingepotea...

Nchi zinazoshauri social distance ni kwamba hakuna taifa lenye uwezo wa kuhudumia watu wengi kwa wakati mmoja kwahio kupunguza maambukizi ni kupata wachache wenye hali mbaya kidogo kidogo hence kuwahudumia...

Suala la kuangalia uchumi wakati kama huu ni kuwa myopic..., sababu wale wateja tunaowategemea wengi (watalii) wakiuona hatufanyi juhudi za kuondoa haya matatizo mwisho wa siku wataacha kuja (kuonyesha unafanya bidiii hata kama haufanyi builds confidence hence kupunguza panic pia)

Tukumbuke mwisho wa siku ni mwili (immunity) ndio inapigana na virus na si vinginevyo (remedies zote za sasa ni kuondoa symptoms kuupa mwili muda ufanye yake) na hata chanjo ikipatikana ni kuupa mwili vile vijidudu ili ivielewe iweze kupambana na hao vijidudu wenyewe pindi wakiingia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…