Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hata hatujamaliza maombolezo.......Kabla Jogoo hajawika.......
Hajipendi.Angekuwepo hayatti angeweza kuongea hivi
Angefufuka leo hii kama Yesu Kristu nadhani asingeamini.Mataga wameanza kumkataa marehemu pombe live bila chenga.
Waziri wa Afya na naibu wake sijui na wao watamkana mwendazake.....Wale wa taalamu waliojenga mashine ya nyungu muhumbili wachukuliwe hatua. Kila mtu awajibike kwa matendo yake.
Unafiki hauna dini mkuu.Huyu Kigwangalla mbona alishaingia kwenye hiyo mashine ya nyungu?
Sijui huyu Kigwangalla ni dini gani maana siyo kwa unafiki huu!!!