Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Hakika hiki kipindi cha teuzi tutasikia mengi tu, ewe muumba tujaalie umri afya na amani ili tushuhudie teuzi za mh mama Samia.
 
Huyu ni mtu mbaya sana. Anaenda na biti. Ogopa sana mtu wa dizaini hii. Yawezekana kaamua kuwa mkweli ila upepo ukichenji hujui atakua timu yako au anatoboa boti mlilopanda...
Hahahahah ndio maana alistukiwa akapigwa chini
 
Anagombania Teuzi kama teuz mwaisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wale askari wa maliasili aliowapigisha adhabu ya kichurachura na push-ups ameshawaomba msamaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…