Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dah Magu amka uone waganga njaa hawa walivyo wanafiki. Huu unafiki wa kiwango cha juu sana sana.

Hivi Magu angekuwa hai ungethubutu hata kuacha mdomo wako wazi?

Hawa ndio viongozi wanaongoza Watanzania.

Hivi mnajua hayo manyungu na unafiki wenu umeuza watu wangapi hadi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…