Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Jamani hata siku 21 hazijaisha.....
 
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo....
Kama hayo maneno ameongea Said Nassor Bagaile aka Hamis Kigwangallah basi huyo mtu ni hatari ,mama samia amuepuke kabisa kwenye utawala wake.
 
Huyu si alituambia habari za head to head immunity au?

Viongozi wengi wa kisiasa wamejaa unafiki na uchumia Tumbo,kama kingwalla alikuwa hakubaliani na Sera za JPM ilipaswa ajiuzulu kipindi kile ni waziri,lakini sababu ya njaa na unafiki aliendeleea kuwepo,

Huyu mtu kama anadhani mama samia atampa uwaziri asahau,ni mpuuzi sana

Bora ya January na Nape ambao walionekana kumpinga JPM hadharani,hawa watu si wanafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…