Uweri the second
Member
- Mar 11, 2021
- 35
- 31
Kabisa siyo swala la dini hilo.Unafiki hauna dini mkuu..........
Hapo mtoe JanuaryHuyu si alituambia habari za head to head immunity au?
Viongozi wengi wa kisiasa wamejaa unafiki na uchumia Tumbo,kama kingwalla alikuwa hakubaliani na Sera za JPM ilipaswa ajiuzulu kipindi kile ni waziri,lakini sababu ya njaa na unafiki aliendeleea kuwepo,
Huyu mtu kama anadhani mama samia atampa uwaziri asahau,ni mpuuzi sana
Bora ya January na Nape ambao walionekana kumpinga JPM hadharani,hawa watu si wanafiki
Kabla mchwa hawajaanza kula mtu analiwa huku na mtuKabla Jogoo hajawika.......