peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Jimbo la Nzega vijijini limekushinda, unatafuta ya Mbowe.Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.
View attachment 2995118
Kigwangalla ni medical doctor 😃Jimbo la Nzega vijijini limekushinda, unatafuta ya Mbowe.
PhD za hovyo 😏
Waloi iba mitihaniKigwangalla ni medical doctor 😃
Acheni kumsakama Mzee Mbowe, hicho ni chama chake anayetaka uenyekiti akaanzishe chama chake big up Zitto, lipumba, Rungwe, na wengineo kwani mmesikia wanabwabwaja.Post ya 14 hii, hakuna aliyejibu hoja ya Kigwangala. Hivi ni kwanini huwa mtu akimuongelea Mbowe na kuachia uenyekiti huwa ni lazima aliyetoa hilo wazo ashambuliwe!?,hivi ni kweli hakuna mtu mwingine chadema anayeweza kuwa mwenyekiti wa chama zaidi ya Mbowe!?!?..., Hivi chadema wote wanaona ni sawa Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu!?,humu huwa namkubali Tindo tu kwenye suala la mwenyekiti kuongoza bila kikomo.
safi sana hii ndiyo maana halisi ya democrasia kuachiana madarakaNi wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.
View attachment 2995118
🤣🤣🤣Hii nchi imejaa watu wapumbavu. Tazama huyu alikuwa waziri
Kigwa Bwabwa hiloHuyu kigwangala sindio alimpongeza mbowe kugombea tena? Ila hii nchi hiu
Unafki mtupuHii nchi imejaa watu wapumbavu. Tazama huyu alikuwa waziri
kwa hili la leo ana akiliHuyo Ngwangwalla hana akili.
Waziri wa chupi huyu , akawa anafanya ziara amefuatana na mahawara zake na kuwaweka kwenye tume zake alizokuwa akiziundaHii nchi imejaa watu wapumbavu. Tazama huyu alikuwa waziri
🤣🤣Waziri wa chupi huyu , akawa anafanya ziara amefuatana na mahawara zake na kuwaweka kwenye tume zake alizokuwa akiziunda
CAG alimwanika kafanya ziara maliasili na vimada wake wanamzikiWaziri wa chupi huyu , akawa anafanya ziara amefuatana na mahawara zake na kuwaweka kwenye tume zake alizokuwa akiziunda
Maelekezo ya CCM kwa sasa ni lazima Mbowe ashinde, hapa ndio kugeuza gia angani sasaHuyu kigwangala sindio alimpongeza mbowe kugombea tena? Ila hii nchi hiu