peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Jimbo la Nzega vijijini limekushinda, unatafuta ya Mbowe.Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.
View attachment 2995118
PhD za hovyo 😏