Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Watu wanafanya kazi kwa bidii nyinyi munajiaminisha vya kutoa kafara. Umewahi kumuona muhindi akiweka mtu yeyote kwenye kupokea fedha za duka lake? Ni yeye au mkewe, hesabu kama kawa kila jioni, kula kulala kiovyoovyo mpaka hapo kitakapoeleweka na biashara ikasimama.

Sisi ukipata kidogo unataka uonekane una pesa na ndugu wote wamejaa hapo unadhani hiyo biashara utafanikiwa? Halafu ndiyo unakuja na mikwara ya kurogwa na makafara.

Ndiyo maana hatuendelei
Kwerikabisa.tujifuze
 
Hizi ni fikra mgando,hivi unajua MO alirithishwa only 50B,miakaa 20 iliyopita leo ana 3.5T,hivi unafikiri ni rahisi kufanya multiplication?,haya make sure nawe unafanya wanao warithi kwako,secondly sio kila mtu anaweza kufanya biashara ni wachache ambao wanaupeo unaoeleweka,ni sahihi utajiri haukufanyi kuwa na akili bali akili ndio inakufanya uwe tajiri.
Siyo kweli!!

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Kwani Dewji alipata huo uwezo wa kiuchumi kwa uwezo mkubwa wa kufikiri ?

Muhammed Dewji IS NOT a self made tycoon.
Hata Dangote tu source ya utajiri ni familia... real self made ni wacchache sana duniani
 
Wewe mwenye uwezo mkubwa WA kufikiri unamiliki biashara gani KUBWA Barani Afrika?
 
Mwenye uwezo mdogo anaongoza kampuni kubwa ya METL yeye sasa hatujui anafanya siasa kwenye kigwanocs
 
Back
Top Bottom