Kwerikabisa.tujifuzeWatu wanafanya kazi kwa bidii nyinyi munajiaminisha vya kutoa kafara. Umewahi kumuona muhindi akiweka mtu yeyote kwenye kupokea fedha za duka lake? Ni yeye au mkewe, hesabu kama kawa kila jioni, kula kulala kiovyoovyo mpaka hapo kitakapoeleweka na biashara ikasimama.
Sisi ukipata kidogo unataka uonekane una pesa na ndugu wote wamejaa hapo unadhani hiyo biashara utafanikiwa? Halafu ndiyo unakuja na mikwara ya kurogwa na makafara.
Ndiyo maana hatuendelei
Mujigawewe.hupuzigani humeadikaa.pibavvuKuwa wewe tajiri ulipe watu mamilioni
Hahahahhahah we jamaa kama ni mtanzania basi shuleni ulienda kusomea ujingaKwerikabisa.nikwawa.tu wachaje sipesho.wenyeakiri
Hawajui kuendeleza urithiNgozi Nyeusi hadi leo hawana kampuni yenye miaka 40
Hahaha,mamasamia2025 siku hizi naona hukopeshi mtu humuHahahahhahah we jamaa kama ni mtanzania basi shuleni ulienda kusomea ujinga
Siyo kweli!!Hizi ni fikra mgando,hivi unajua MO alirithishwa only 50B,miakaa 20 iliyopita leo ana 3.5T,hivi unafikiri ni rahisi kufanya multiplication?,haya make sure nawe unafanya wanao warithi kwako,secondly sio kila mtu anaweza kufanya biashara ni wachache ambao wanaupeo unaoeleweka,ni sahihi utajiri haukufanyi kuwa na akili bali akili ndio inakufanya uwe tajiri.
Hata Dangote tu source ya utajiri ni familia... real self made ni wacchache sana dunianiKwani Dewji alipata huo uwezo wa kiuchumi kwa uwezo mkubwa wa kufikiri ?
Muhammed Dewji IS NOT a self made tycoon.
sema ukweli,ambao mimi nitauona sio ukweli pia
Toa mifano mitatu.
Ukishindwa tunaku-sukumizia liukuni matakoni
Mzee wa Kino umesoma jamaa alichoandika? ππππππHahaha,mamasamia2025 siku hizi naona hukopeshi mtu humu
Ova
Pale unapojifanya unajua wakati hujui.Endelea tu kusema ni za baba yake, ila ujue yeye ndio anayeamua azitumiaje, na sio wewe
Huyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo