Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tume iliyoundwa na muuaji wa kimbari
Sio uuee aafu ujiseme, yaan hapo ni uuwe aafu ujichunguze wewe kama ni muuwajiUuue alafu ujiseme.
Mkuu umenyoka barabara kabisa.Jibu rahisi! Amri jeshi mkuu ndiye aliyetoa amri ya kuua. Tusizunguke mbuyu.
Maana yake rais alitoa amri kama mkuu wa mamlaka zote za ulizi wa wananchi.
Swali linakuja. Je mauaji hayo kwa raia wasio na silaha yalikuwa halali? Au haramu. Jibu ni haramu.
Kwa mantiki hiyo sheria zetu zinasemaje iwapo mtu amefanya maamuzi yanamna hiyo?
Inakuwaje mtu wa aina hiyo bado ni kiongozi katika Taifa la utawala bora na sheria?
Wajibu wa wananchi ni nini? Kama mtu huyo amekataa au ameshindwa kuwajibishwa? Jibu ni kumuondoa kwa njia yoyote ile. Lengo ni kulinda maslahi ya Taifa na kizazi kijacho.
Nawaza mimi mtoto wa kitanganyika
Jibu rahisi! Amri jeshi mkuu ndiye aliyetoa amri ya kuua. Tusizunguke mbuyu.
Maana yake rais alitoa amri kama mkuu wa mamlaka zote za ulizi wa wananchi.
Swali linakuja. Je mauaji hayo kwa raia wasio na silaha yalikuwa halali? Au haramu. Jibu ni haramu.
Kwa mantiki hiyo sheria zetu zinasemaje iwapo mtu amefanya maamuzi yanamna hiyo?
Inakuwaje mtu wa aina hiyo bado ni kiongozi katika Taifa la utawala bora na sheria?
Wajibu wa wananchi ni nini? Kama mtu huyo amekataa au ameshindwa kuwajibishwa? Jibu ni kumuondoa kwa njia yoyote ile. Lengo ni kulinda maslahi ya Taifa na kizazi kijacho.
Nawaza mimi mtoto wa kitanganyika
Ukimya wao na kutowajibishana pia ni jibu tosha kuwa amri wametoa wenyewDkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.
Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.
Soma zaidi
Huyo atakuwa dokta ya vinyesi, yeye mwenyewe atuambie nani aliwatuma wale wahuni kuiba, kuvunja, kuharibu mali, kuchoma miundo mbinu? Wahalifu wasipotii amri halali lazima wauawe hiyo ndiyo kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama, aache siasa za majitaka na kutafuta umaarufu wa bei rahisiDkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.
Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.
Soma zaidi
hiyo tume huru ya Jaji Chande ilishamaliza wajibu wake kulingana na hadidu za rejea ilizopewa na alieunda tume hiyo.Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.
Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.
Soma zaidi
Jifunze kuandika vizur kwanza unaruka ruka maneno na unaacha nafasi kupita kiasi😏Ukianza watu watamaliza , amani italindwa ..Si mmeona yale mliambiwa na mashekhe ubwabwa, hao waliowachochea hawana cha kuwasaidia zaidi ya kuwakumbusha machungu . Hakuna amri wala nn , walioko field waliona haya ni mapinduzi , Hakuna Rais alikuja kutangaza hali ya hatari kama korea kaskazini , ngoma waliachiwa wajeda..Hkuna wa kukamatwa , mmevuna mlichpanda ..Nimezunguka kuwasihi ndugu zangu , kweli wamenishukuru sana nimewaepusha na matatizo
Mshajfunza siku nyingine hamuwezi kurudia ..Jaribu lolote la kutaka kumpindua Rais ni uhaini na hakuna adhabu zaidi ya kufa hii ni kutokana na katiba ..Kikatiba wamefanya sawa kabisa.
Pia tume ya Jaji CHANDE ilishindwa kutamka ni akina nani walitoa hamasa na kushauri vijana wavamie vituo vya polisi,wachukue silaha,wachome mwendokasi,wachome maduka na vituo vya mafuta pamoja na magari. Pia tume ilishindwa kutueleza ni akina nani walifanya kinyume na sheria za nchi kwa kuvuruga uchaguzi.Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.
Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.
Soma zaidi
Naona hauna hoja ,ukiona mtu anakazania kwamba kuna mtu alitoa amri basi ni zwazwa 😅😅...Yaani ni mjinga kabisa ,mlichotaka mlipata hakuna mtu katoa amri ,hao waandamaji nao wameua watu acheni utani.Jifunze kuandika vizur kwanza unaruka ruka maneno na unaacha nafasi kupita kiasi😏
Huyo jamaa empty set.Jifunze kuandika vizur kwanza unaruka ruka maneno na unaacha nafasi kupita kiasi😏