PostGE2025 Dkt. Kijo-Bisimba: Tume ya Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Cho-ko Mchokoe Pweza......
Huyu mama ni mwanasheria anafahamu kwamba kisheria hilo swali analo uliza La nani alitoa amri ni mwendelezo wa uchokozi wake.Kwanza kama anaamini kwamba Maandamano yalifanyika na yalikuwa halali nasi aelewe kwamba na waaliokamatwa na waliouwawa na vyomba vya ulinzi na usalama walikuwa ama ni halali au ni cillateral damage.

Walioshambulia na kuua wananchi ni watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao walikuwa wakitekeleza wajibu wao.Kama walikiuka tarataibu ina maana kuna taratibu za kisheria za kuwashughulikia.Sasa unapouliza nani alitoa AMRI ni tabia za KINOKO tu ilhali iko wazi kwamba Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama ni vyetu na silaha wamepewa kwa gharama za kodi zetu na Jukumu lao ni kulanda usalama wa RAIA na MALI zao kama walinzi wa Jamhuri.

Hizi Chokochoko za wabibi kama hawa ndio zinafanya harakati za mabadiliko zionekana kama Gnge la Wahuni badala ya kujipanga na kuacha kuwatoa wananchi KAFARA.Mlitamani sana kuona Tanzania inachafuka na kuingia katika CIVIL WARS ila UIMARA wa seriklai umeweza kuchelewesha hilo na sisi badala ya kutulia na kujipanga mnaleta chokochoko nyingine.

Hizo Damu za waliouwawa zitatulilia siku zote kama TAIFA
 

Walikua wanapindua nini??
 
Kuanza kujibishana na tahira nao ni utahira mwngne🚮🚮

Enjoy mwaya🥳🥳
 
Walikua wanapindua nini??
Labda ulifuata agenda ,mlikuwa mnafanya mapinduzi ..Kuwadhuru waliokwenda kupiga kura...Mnashawishi jeshi kuasi, nyie hata theluthi hamfiki mnaleta vurugu ..Mkome !
 
Sio mama yangu tuu ukoo wetu wote ni wajinga vilevile🤸‍♂️🤸‍♂️

Nakusanua iyo🤝
Sibishani na fala ,mafala mko wachache
.Chanzo cha ujinga wenu ,leo mnalia lia ..Maisha yanaendelea.
 
Ila hii nchi bhana, unaweza kuta kuna watu wanakuiita Baba. 😂😂😂
 
When looting starts, Shooting starts
End Off
Hakuna maelezo mengi, sasa wewe jichanganye
 
Mmeshindwa ,hapa amani tu. Mwanaume wa kweli unapiga majungu badala ya kufanya kazi.😅😅
Pole mkuu, majungu yako wapi hapo? Mimi nimesema kuwa unakuta kuna watu wanakuita Baba. Wewe unajibu mambo ya amani na ujinga ujinga. Utashangaa unadharaulika kuliko lucas
 
Pole mkuu, majungu yako wapi hapo? Mimi nimesema kuwa unakuta kuna watu wanakuita Baba. Wewe unajibu mambo ya amani na ujinga ujinga. Utashangaa unadharaulika kuliko lucas
Kwa hiyo pakitokea machafuko familia zetu zitakwenda wapi? Kijana unapopambana na hali yako usimtingishe mwingine..Kuweni makini na conscious zenu za kishamba hizo.
 
Kwa hiyo pakitokea machafuko familia zetu zitakwenda wapi? Kijana unapopambana na hali yako usimtingishe mwingine..Kuweni makini na conscious zenu za kishamba hizo.
Naweza kusema kidogo umetumia kichwa vizuri. Kumbe somo limekuingia
 
Naweza kusema kidogo umetumia kichwa vizuri. Kumbe somo limekuingia
Kama nyie vidume na sio mashoga ,nendeni sio kuchoma maduka ya watu ,dhulma mbaya sana ona mlivyokufa sasa.
 
Amri ilitoka kwa mapolisi wakuu tu,ili kulinda usalama wa Raia na Mali zao!!!

Alisikika kada mzoefu wa chama chetu akiwa amelewa!!
 
Kumbe uchaguzi ulivurugwa?
 
 

Attachments

  • 6429167-4379e723897040c642f3e3d6da3950de.mp4
    37.1 MB
  • 6429170-e2302916e243b02df27dbcf81cdd7ba3.mp4
    68.9 MB
Kwenye kuzima mapinduzi nani huvipa amri vyombo vya ulinzi na usalama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…