PostGE2025 Dkt. Kijo-Bisimba: Tume ya Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mapinduzi ni halali kama watu hawakupendi na umengangania madaraka
Kuna utaratibu wa kubadili viongozi,ufuate,kama unaona mapinduzi ni halali basi risasi za kichwa kwenye mapinduzi ni halali pia
 
labda huyo mama hakuisoma vizuri hiyo taarifa fupi ya tume
kama aliisoma hakuielewa,labda sababu ya uzee,,kama aliielewa basi anajitoa ufahamu kwa sababu zake maslumu au za kisiasa,ama haitambui,,kama haitambui basi atupe yeye report yake anayoiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…