Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Sawa bossSasa hao mainjinia waliosoma na kujenga hawajui.ndo uwa Wana lalamika HAWANA KAZI.ila fundi hakosi KAZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bossSasa hao mainjinia waliosoma na kujenga hawajui.ndo uwa Wana lalamika HAWANA KAZI.ila fundi hakosi KAZI
Mbona nao wananichaganya sehemu tofauti tofauti acheni kusingizia wasomi, bila shaka na wewe umeajiriwa Ila unalaumu wasomi. Hafu kazi ya kusoma ni kuondoa ujinga, hata huyo fundi mchundo anatakiwa asome kujiongezea maarifafundi anaweza akajichanganya sehemu yoyote.akafanya kazi akaishi.
Tofauti na wasomi wengi AMBAYO wamesoma wakiamini kuajiliwa ndo kila kitu.
HUYU msomi angetoka chuo akiwa na UJUZI wake wa umeme au ujenzi.asingesubiri kuajiliwa.
Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
Makosa yalifanyika hapa katikati nadhani wakati wa Hayati Ben Mkapa na Mzee Kikwete....Wakati wa Mzee Nyerer aliyaona haya ndio maana alifungua vyuo vingi vya ufundi nakumbuka pale Mwanza tulikuwa na Mwanza Technical pale karibu na shule ya msingi Nyanza....kulikuwa na Dar Tech, Mbeya Tech, Mosh Tech..Technical schools kila mahali na hivi vyuo ndio vilisaidia kutoa hiyo elimu ya ufundi na kutengeneza mafundi mchundo....University zilikuwa chache na ilikuwa ni makusudi ili vizalishe 'Thinking Tanks" na kwa hakika alifanikiwa.walivyokuja hawa kina Ben na Jakaya..wakabadili vyuo vyote vya Ufundi kuwa vyuo vikuu.....na mwisho wa siku ndio haya tunaona sasa...kijana yuko mwaka wa tatu chuo kikuu hajui hata kuandika barua ya Ku postpone masomo, anauliza JF members wamasaidie!...Wacha kina Kimei wa propose tuwafundishe kuwa mafundi simu!Alikuwa na point. What is the use 7 yrs Primary School+6 yrs Secondary School+ 2-5 yrs tertiary education. Na chuoni mtu anasoma BA Caltural Heritage, B.A Tourism, BA. Linguistics and the likes. Anakuja mtaani hakuna ajira anaishia kuwa boda BODA, kondakta wa basi.
Matumizi mabaya ya muda na rasilimali akili.
Maoni yangu:
1. Mfumo wa elimu urekebishwe miaka ipunguzwe i.e primary school 5 yrs secondary 3 to 4 yrs, e.t.c
2. Mkazo uwe kwenye vyuo vya kati. Basically middle income economy kwa kiasi kikubwa inaendesha na mafundi mchundo na mafundi sanity.
Ndio hivvyo cariha vijana wanaujuzi wa mechanics lakini siku hazi watu hawanunui magari. Vijana wana ujuzi wa kupaka rangi lakini hakuna ujenzi mwingi kama zamani.Watu wanajitoa ufahamu Sana KWA hili swala Mbona watu Wana ufundi shida ni purchasing power imekuwa ndogo Sana mtaani, wao wanalaumu elimu, badala ya mifumo mibovu ya utawala, Kuna watu wamejiajiri KWA fundi mbalimbali Ila hamna kazi watu hawana hela
cariha vijana wanafikiri wakishahitimu chuo cha ufundi basi yeye kusoma tena ndio baaaas.Mbona nao wananichaganya sehemu tofauti tofauti acheni kusingizia wasomi, bila shaka na wewe umeajiriwa Ila unalaumu wasomi. Hafu kazi ya kusoma ni kuondoa ujinga, hata huyo fundi mchundo anatakiwa asome kujiongezea maarifa
Zamani shule niliyosoma kuanzia form one Hadi form four kulikuwa na masomo mbalimbali Kama cookery, niddle work na ufundi, unfortunately serikali ikafuta hzo shule ikabaki na advance tu, so hapo kuanzia form one Hadi form four wangerudisha hayo masomo, pia wote wakiishia hzo level bila mipango ya uchumi endelevu kazi itakuwa ni ile ile
Mbona nao wananichaganya sehemu tofauti tofauti acheni kusingizia wasomi, bila shaka na wewe umeajiriwa Ila unalaumu wasomi. Hafu kazi ya kusoma ni kuondoa ujinga, hata huyo fundi mchundo anatakiwa asome kujiongezea maarifa
Watu badala wa deal na tatizo wao wanalaumu graduates walioko mtaani tena huyo kimei amekaa crdb White color jobs kastaafu kakimbilia ubunge then anasema solution vijana wasome ufundi simu, plus blah blah nyingi, bila ya ku deal na tatizo, na walio nje elimu ka ni degree hazitofautiani na zetu sema wao Kuna kazi nyingi za kufanya hata za usafi hufi njaa tofauti na huku, vijana wengi walioajiajiri kazi hamna uchumi umekuwa mbovu, waliokuwa na biashara wamezifunga, waliokuwa wanategemea utalii ndo umekufa na mahoteli watu wamepunguzwa wako kitaa, nilifikiria angeshauri serikali kutoa recovery fund KWA shughuli zilizokubwa na coronavirus Ili zinyanyuke yeye anakuja na blah blah Mara ufundi, sijui nini wakati vyuo vya ufundi viko kila corner.Ndio hivvyo cariha vijana wanaujuzi wa mechanics lakini siku hazi watu hawanunui magari. Vijana wana ujuzi wa kupaka rangi lakini hakuna ujenzi mwingi kama zamani.
Pesa ikirudi mtaani, vijana wa ufundi watapata kazi, kampuni zitafufuka na graduates pia wataajiriwa kwa hizo white-collar jobs.
Wewe wajisemea tu nadhani unaishi dunia yako, Mimi huku mtaani hao mafundi wapo, fundi umeme sijui simu Ila tatizo wateja hata ujenzi Sasa unasua sua compare na enzi za mkwere sasa hivi watu wanatafta hela ya kula, hafu fundi umeme tatizo likiwa kubwa huwa wanakuja taneaco wenyewe na sio vishoka.FUNDI umeme hajawahi kukosa kazi,FUNDI ujenzi hajawahi kukosa kazi,FUNDI magari hajawahi kukosa kazi hata madereva.
Kijana anatakiwa awe na UJUZI wake.ukiacha Yale masomonya darasani.
Hata siku akimaliza chuo akakosa ajira anaweza akasukuma siku mitaani
Hayo masomo si ndo wanaenda kusoma veta waliomaliza form four huko mtaani, pia serikali sio wajinga kuacha watu kusoma kisa eti ajira, lengo la elimu ni kutoa ujinga, na kwenye maisha wote wakienda vyuo vya Kati Hali si itarudi vile vile ndio maana kukawa na specialization huwezi kujua vitu vyote. Pia wengi wako chuoni huwa na vitu vingine wanafanya kuwaingizia vipato, ni sawa useme daktari aliyesomeshwa seven year's useme ajiajiri is it possible?Kuna masomo yanatakiwa yaongezwe huko vyuoni hata shule za sekondari.
Umeme,ujenzi,udereva n.k
Hizo fani mtoto akiwa nazo hata akimaliza chuo akakosa ajira anaweza akaingia mtaani na akapata vibarua vya kusogeza siku.
Mtu namjua NI dokta lakini kubadikisha BULB hawezi.kitu kidogo kikitokea nyumbani kwake kwenye umeme mpaka amuite fundi.sasa Hilo ni tatizo.
Huku watu wamekariri kuwa lengo la elimu ni kusomea mitihani na kupata kazi, lakini elimu haina mwisho hata kusoma story, maelezo mengine nayo ni elimu tucariha vijana wanafikiri wakishahitimu chuo cha ufundi basi yeye kusoma tena ndio baaaas.
Elimu ni zaidi ya kupata pesa nyingi ndio maana wasomi wengi kuanzia ngazi ya chuo kikuu wanauwezo wa ku-balance ukubwa wa familia na kiwango cha pesa anayoipata kwa mwezi.
Kuna mmoja ni Boss pale CRDB Azikiwe Branch. Labda alianzia na ufundi bomba pale kabla hajapanda taratibuYule mtoto wa Kimei alifunga ndoa hivi karibuni sidhani kuwa ni fundi seremala, mwashi au makenika.
Ninamuunga mkono KimeiAlikuwa na point. What is the use 7 yrs Primary School+6 yrs Secondary School+ 2-5 yrs tertiary education. Na chuoni mtu anasoma BA Caltural Heritage, B.A Tourism, BA. Linguistics and the likes. Anakuja mtaani hakuna ajira anaishia kuwa boda BODA, kondakta wa basi.
Matumizi mabaya ya muda na rasilimali akili.
Maoni yangu:
1. Mfumo wa elimu urekebishwe miaka ipunguzwe i.e primary school 5 yrs secondary 3 to 4 yrs, e.t.c
2. Mkazo uwe kwenye vyuo vya kati. Basically middle income economy kwa kiasi kikubwa inaendesha na mafundi mchundo na mafundi sanity.
Hayo masomo si ndo wanaenda kusoma veta waliomaliza form four huko mtaani, pia serikali sio wajinga kuacha watu kusoma kisa eti ajira, lengo la elimu ni kutoa ujinga, na kwenye maisha wote wakienda vyuo vya Kati Hali si itarudi vile vile ndio maana kukawa na specialization huwezi kujua vitu vyote. Pia wengi wako chuoni huwa na vitu vingine wanafanya kuwaingizia vipato, ni sawa useme daktari aliyesomeshwa seven year's useme ajiajiri is it possible?
Tinahitaji ku deal na tatizo halisi na sio tatizo hisia
MADELINE KIMEI[WAKILI WA KIMATAIFA] alisomeshwa ufundi simu?Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.
Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.
Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.
Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. Wa Kimei sijui.
Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?
Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?
Mtoto wa Kimei ambaye hajasoma kabis ni Madeline, ana Digrii ya Sheria LLB- Uingereza,LLM-USA-Masters ya Sheria na alikuwa anafanya kazi Tanzania institute of Arbitrators na sasa anafanya kazi mahakama ya umoja wa Mataifa, mshahara kwa mwezi ni dola 12,000 yaani milioni 24, ameolewa na kijana wa kinyakyusa.Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.
Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.
Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.
Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. Wa Kimei sijui.
Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?
Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?
Ww kweli n mjinga km jina lako unaongea km umekatwa kichwa, mm nko hapa mtaani nmepanga na fund umeme na fund seremala ns wanalalamika hawapati dili lolote lile, huyo fund cherehan tu ckuhz apelekewi viraka tunashona wenyewe na sindano.fundi anaweza akajichanganya sehemu yoyote.akafanya kazi akaishi.
Tofauti na wasomi wengi AMBAYO wamesoma wakiamini kuajiliwa ndo kila kitu.
HUYU msomi angetoka chuo akiwa na UJUZI wake wa umeme au ujenzi.asingesubiri kuajiliwa.
Na hata mainjinia wengi kujenga hawajui.wanatagemea mafundi
mwenye shibe hakukumbuki wewe, sana sana anaweza kukushauri ukauze maji barabarani kwenye daldala,Ww kweli n mjinga km jina lako unaongea km umekatwa kichwa, mm nko hapa mtaani nmepanga na fund umeme na fund seremala ns wanalalamika hawapati dili lolote lile, huyo fund cherehan tu ckuhz apelekewi viraka tunashona wenyewe na sindano.
Hivi unajua mshahara wa mbunge ni 12 millions per month?Watu badala wa deal na tatizo wao wanalaumu graduates walioko mtaani tena huyo kimei amekaa crdb White color jobs kastaafu kakimbilia ubunge then anasema solution vijana wasome ufundi simu, plus blah blah nyingi, bila ya ku deal na tatizo, na walio nje elimu ka ni degree hazitofautiani na zetu sema wao Kuna kazi nyingi za kufanya hata za usafi hufi njaa tofauti na huku, vijana wengi walioajiajiri kazi hamna uchumi umekuwa mbovu, waliokuwa na biashara wamezifunga, waliokuwa wanategemea utalii ndo umekufa na mahoteli watu wamepunguzwa wako kitaa, nilifikiria angeshauri serikali kutoa recovery fund KWA shughuli zilizokubwa na coronavirus Ili zinyanyuke yeye anakuja na blah blah Mara ufundi, sijui nini wakati vyuo vya ufundi viko kila corner.
Hapo mchawi ni uchumi tu, pia mashirika mengi yamefunga shughuli na makampuni mnataka Hali iwe sawa tu.
Hawa wanasiasa vichwa panzi kweli