Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Wewe wajisemea tu nadhani unaishi dunia yako, Mimi huku mtaani hao mafundi wapo, fundi umeme sijui simu Ila tatizo wateja hata ujenzi Sasa unasua sua compare na enzi za mkwere sasa hivi watu wanatafta hela ya kula, hafu fundi umeme tatizo likiwa kubwa huwa wanakuja taneaco wenyewe na sio vishoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo vishoka lol
 
Kuna masomo yanatakiwa yaongezwe huko vyuoni hata shule za sekondari.
Umeme,ujenzi,udereva n.k
Hizo fani mtoto akiwa nazo hata akimaliza chuo akakosa ajira anaweza akaingia mtaani na akapata vibarua vya kusogeza siku.
Mtu namjua NI dokta lakini kubadikisha BULB hawezi.kitu kidogo kikitokea nyumbani kwake kwenye umeme mpaka amuite fundi.sasa Hilo ni tatizo.
Uelew unachokisimamia n kip mzee, unabeza mtu n dokta hawez kubadil bulb mpk fundi, ndio inavotakiw iwe hvo amuite fundi ili fund aingize ujira, sasa huyo dokta akijua kubadili bulb huyo fundi umeme atakuwa na ajira?
 
Mtoto wa Kimei ambaye hajasoma kabis ni Madeline, ana Digrii ya Sheria LLB- Uingereza,LLM-USA-Masters ya Sheria na alikuwa anafanya kazi Tanzania institute of Arbitrators na sasa anafanya kazi mahakama ya umoja wa Mataifa, mshahara kwa mwezi ni dola 12,000 yaani milioni 24, ameolewa na kijana wa kinyakyusa.View attachment 1694048
Nimejikutaa nacheka tyuuh lol [emoji23][emoji23]
 
Wewe wajisemea tu nadhani unaishi dunia yako, Mimi huku mtaani hao mafundi wapo, fundi umeme sijui simu Ila tatizo wateja hata ujenzi Sasa unasua sua compare na enzi za mkwere sasa hivi watu wanatafta hela ya kula, hafu fundi umeme tatizo likiwa kubwa huwa wanakuja taneaco wenyewe na sio vishoka.
Tena katika hao fundi simu ndio usiseme kabisa. Kuna dada yangu mmoja screen pretector ya simu yake imevunjika tangia november mwaka jana 2020 hajabadili mpaka leo anakwambia pesa hana. Just imagine protector ya 4,000/= mtu kashindwa kubadili mpaka sasa.

Pesa zimekuwa chache sana mtaani.
 
Uelew unachokisimamia n kip mzee, unabeza mtu n dokta hawez kubadil bulb mpk fundi, ndio inavotakiw iwe hvo amuite fundi ili fund aingize ujira, sasa huyo dokta akijua kubadili bulb huyo fundi umeme atakuwa na ajira?
Siku hizi ninamdharau sana huyo jamaa. Nilikuwa sijui kama ni kilaza namna hiyo
 
Alikuwa na point. What is the use 7 yrs Primary School+6 yrs Secondary School+ 2-5 yrs tertiary education. Na chuoni mtu anasoma BA Caltural Heritage, B.A Tourism, BA. Linguistics and the likes. Anakuja mtaani hakuna ajira anaishia kuwa boda BODA, kondakta wa basi.

Matumizi mabaya ya muda na rasilimali akili.

Maoni yangu:
1. Mfumo wa elimu urekebishwe miaka ipunguzwe i.e primary school 5 yrs secondary 3 to 4 yrs, e.t.c
2. Mkazo uwe kwenye vyuo vya kati. Basically middle income economy kwa kiasi kikubwa inaendesha na mafundi mchundo na mafundi sanity.
Umeongea suala la msingi sana lakini hoja zisijikite kwenye kupunguza muda wa kusoma bila kuangalia kitu cha muhimu kwenye elimu hasa Relevancy ya content wanazofundishwa watoto probably ni outdated sana.

Kama tunataka kuweka mkazo kwenye tertiary education wakati watoto wanafundishwa content ambayo kwa kiwango kikubwa imeshapoteza relevancy ni kupoteza muda tu.

Tunaweza kubadilisha elimu ya secondary ibebe content za tertiary education pamoja na mambo mengine.

Elimu ya chuo kikuu siyo ya kubeza kwa sababu lengo kubwa ni kuzalisha managerial skills ambazo hazifundishwi kwa level ya tertiary education.
 
Alikuwa na point. What is the use 7 yrs Primary School+6 yrs Secondary School+ 2-5 yrs tertiary education. Na chuoni mtu anasoma BA Caltural Heritage, B.A Tourism, BA. Linguistics and the likes. Anakuja mtaani hakuna ajira anaishia kuwa boda BODA, kondakta wa basi.

Matumizi mabaya ya muda na rasilimali akili.

Maoni yangu:
1. Mfumo wa elimu urekebishwe miaka ipunguzwe i.e primary school 5 yrs secondary 3 to 4 yrs, e.t.c
2. Mkazo uwe kwenye vyuo vya kati. Basically middle income economy kwa kiasi kikubwa inaendesha na mafundi mchundo na mafundi sanity.
Sikubaliani na wazo la Kimei
 
Lazima tufanye root cause analysis. Mfumo wa elimu yetu ni mbovu. Tuanzie hapo.

Mbona yeye ni Dr. Kimei na amefanikiwa? Elimu yetu iwe inafundisha life skills na independent thinking. Graduate anafanya interview - akiulizwa swali utadhani ni text book! Kukaririshwa na kupasi mtihani siyo elimu.

Una degree ya Mining Engineering basi unarudi kuwa mhadhiri na hata hujapitia kozi ya ualimu. Hivyo 'Pedagogy skills unazitoa wapi?
Kazi ya mwalimu wa Chuo kikuu siyo Teaching ni lecturing ndiyo maana pedagogy skills haihitajiki sana.

Tatizo linakuja walimu wengi wa vyuo vikuu wanafanya Teaching badala ya lecturing.
 
kwa hyo wewe ndo "MKE WAO" unajua kuwa hawapati kazi?
hawapati kazi Sasa wanaishi vipi?
Ww kweli n mjinga km jina lako unaongea km umekatwa kichwa, mm nko hapa mtaani nmepanga na fund umeme na fund seremala ns wanalalamika hawapati dili lolote lile, huyo fund cherehan tu ckuhz apelekewi viraka tunashona wenyewe na sindano.
 
Tena katika hao fundi simu ndio usiseme kabisa. Kuna dada yangu mmoja screen pretector ya simu yake imevunjika tangia november mwaka jana 2020 hajabadili mpaka leo anakwambia pesa hana. Just imagine protector ya 4,000/= mtu kashindwa kubadili mpaka sasa.

Pesa zimekuwa chache sana mtaani.
Watu hawajui tu kuwa shida ni uchumi angalia ma bar na mahoteli hamna watu na hapo mwanzo ziliajiri maelfu ya watu
 
Ulishawahi kupita jwtz au jkt?
Uelew unachokisimamia n kip mzee, unabeza mtu n dokta hawez kubadil bulb mpk fundi, ndio inavotakiw iwe hvo amuite fundi ili fund aingize ujira, sasa huyo dokta akijua kubadili bulb huyo fundi umeme atakuwa na ajira?
 
Sasa wewe mtoto wa kimaskini endelea kushindana na watoto wa kitajiri.
Ambao hata wasipokuwa na kazi Wala UJUZI WANAISHI VIZURI
Mtoto wa Kimei ambaye hajasoma kabis ni Madeline, ana Digrii ya Sheria LLB- Uingereza,LLM-USA-Masters ya Sheria na alikuwa anafanya kazi Tanzania institute of Arbitrators na sasa anafanya kazi mahakama ya umoja wa Mataifa, mshahara kwa mwezi ni dola 12,000 yaani milioni 24, ameolewa na kijana wa kinyakyusa.
Kaka zake watatu wapo Marekani na wamesoma sana, wameoa wanawake wa kichagga na wana uraia wa marekani, nyie endeleeni kujifunza ufundi simu
View attachment 1694048
 
Hivi unajua mshahara wa mbunge ni 12 millions per month?
Can you imagine huyo kimei kaiba na crbd na Sasa hivi anakula 12 millions per month then anashauri mtanzania mtoto asiye na capital aende kujifunza simu, na wakati mafundi wa mtaani wa simu hawajaenda vyuoni kusoma. Huu mfano wake ungekuwa applicable KWA wanawe ka mfano ku inspire watanzania wengine
 
Mtoto wa Kimei ambaye hajasoma kabis ni Madeline, ana Digrii ya Sheria LLB- Uingereza,LLM-USA-Masters ya Sheria na alikuwa anafanya kazi Tanzania institute of Arbitrators na sasa anafanya kazi mahakama ya umoja wa Mataifa, mshahara kwa mwezi ni dola 12,000 yaani milioni 24, ameolewa na kijana wa kinyakyusa.
Kaka zake watatu wapo Marekani na wamesoma sana, wameoa wanawake wa kichagga na wana uraia wa marekani, nyie endeleeni kujifunza ufundi simu
View attachment 1694048
Halafu wawatoto wa maskini waliowapigia kura ndo wasiende shule wajifunze kutengeneza simu, hata huyo mwanaye lazima alimpa connection tu
 
Inatakiwa hayo wanayosoma Veta wayasome na huko vyuoni.
Ziwe Kama skills za ziada.
Ili ikitokea amekosa ajira hizo skills zimsaidie.kuna watoto Wana maliza vyuo kuendesha gari hajui Hilo ni tatizo
Kila level ya elimu Ina nafasi yake kwenye kujenga uchumi, lazima kuwa na diversion ya vitu mbalimbali, hata hao wa veta wako wengi hamna shughuli KWA sasa uchumi ume paralyze, ndo hao wamekimbilia boda boda nako zimekuwa nyingi Hadi wanakosa wateja
 
Back
Top Bottom