Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo vishoka lol
 
Uelew unachokisimamia n kip mzee, unabeza mtu n dokta hawez kubadil bulb mpk fundi, ndio inavotakiw iwe hvo amuite fundi ili fund aingize ujira, sasa huyo dokta akijua kubadili bulb huyo fundi umeme atakuwa na ajira?
 
Nimejikutaa nacheka tyuuh lol [emoji23][emoji23]
 
Tena katika hao fundi simu ndio usiseme kabisa. Kuna dada yangu mmoja screen pretector ya simu yake imevunjika tangia november mwaka jana 2020 hajabadili mpaka leo anakwambia pesa hana. Just imagine protector ya 4,000/= mtu kashindwa kubadili mpaka sasa.

Pesa zimekuwa chache sana mtaani.
 
Uelew unachokisimamia n kip mzee, unabeza mtu n dokta hawez kubadil bulb mpk fundi, ndio inavotakiw iwe hvo amuite fundi ili fund aingize ujira, sasa huyo dokta akijua kubadili bulb huyo fundi umeme atakuwa na ajira?
Siku hizi ninamdharau sana huyo jamaa. Nilikuwa sijui kama ni kilaza namna hiyo
 
Umeongea suala la msingi sana lakini hoja zisijikite kwenye kupunguza muda wa kusoma bila kuangalia kitu cha muhimu kwenye elimu hasa Relevancy ya content wanazofundishwa watoto probably ni outdated sana.

Kama tunataka kuweka mkazo kwenye tertiary education wakati watoto wanafundishwa content ambayo kwa kiwango kikubwa imeshapoteza relevancy ni kupoteza muda tu.

Tunaweza kubadilisha elimu ya secondary ibebe content za tertiary education pamoja na mambo mengine.

Elimu ya chuo kikuu siyo ya kubeza kwa sababu lengo kubwa ni kuzalisha managerial skills ambazo hazifundishwi kwa level ya tertiary education.
 
Sikubaliani na wazo la Kimei
 
Kazi ya mwalimu wa Chuo kikuu siyo Teaching ni lecturing ndiyo maana pedagogy skills haihitajiki sana.

Tatizo linakuja walimu wengi wa vyuo vikuu wanafanya Teaching badala ya lecturing.
 
kwa hyo wewe ndo "MKE WAO" unajua kuwa hawapati kazi?
hawapati kazi Sasa wanaishi vipi?
Ww kweli n mjinga km jina lako unaongea km umekatwa kichwa, mm nko hapa mtaani nmepanga na fund umeme na fund seremala ns wanalalamika hawapati dili lolote lile, huyo fund cherehan tu ckuhz apelekewi viraka tunashona wenyewe na sindano.
 
Watu hawajui tu kuwa shida ni uchumi angalia ma bar na mahoteli hamna watu na hapo mwanzo ziliajiri maelfu ya watu
 
Ulishawahi kupita jwtz au jkt?
Uelew unachokisimamia n kip mzee, unabeza mtu n dokta hawez kubadil bulb mpk fundi, ndio inavotakiw iwe hvo amuite fundi ili fund aingize ujira, sasa huyo dokta akijua kubadili bulb huyo fundi umeme atakuwa na ajira?
 
Sasa wewe mtoto wa kimaskini endelea kushindana na watoto wa kitajiri.
Ambao hata wasipokuwa na kazi Wala UJUZI WANAISHI VIZURI
 
Hivi unajua mshahara wa mbunge ni 12 millions per month?
Can you imagine huyo kimei kaiba na crbd na Sasa hivi anakula 12 millions per month then anashauri mtanzania mtoto asiye na capital aende kujifunza simu, na wakati mafundi wa mtaani wa simu hawajaenda vyuoni kusoma. Huu mfano wake ungekuwa applicable KWA wanawe ka mfano ku inspire watanzania wengine
 
Halafu wawatoto wa maskini waliowapigia kura ndo wasiende shule wajifunze kutengeneza simu, hata huyo mwanaye lazima alimpa connection tu
 
MADELINE KIMEI[WAKILI WA KIMATAIFA] alisomeshwa ufundi simu?
Hawa ndumilakuwili watakuja kulipa tu
Inasikitisha unafiki wa Hawa wanasiasa wetu hafu huwa wanajiona Wana akili Sana baada ya kuiba kura na kushinda ubunge
 
Inatakiwa hayo wanayosoma Veta wayasome na huko vyuoni.
Ziwe Kama skills za ziada.
Ili ikitokea amekosa ajira hizo skills zimsaidie.kuna watoto Wana maliza vyuo kuendesha gari hajui Hilo ni tatizo
Kila level ya elimu Ina nafasi yake kwenye kujenga uchumi, lazima kuwa na diversion ya vitu mbalimbali, hata hao wa veta wako wengi hamna shughuli KWA sasa uchumi ume paralyze, ndo hao wamekimbilia boda boda nako zimekuwa nyingi Hadi wanakosa wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…