Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Ukisema mtu katoka Veta.
Alafu Hana kazi nitakushangaa.
Maana Veta NI UJUZI.
Hauitaji kuajiliwa.
Sasa ninyi endeleeni kushindana na watoto wa kimei.wakati wenzenu hata wasipokuwa na kazi wanaishi.
Mtoto wa masikini hata hyo hela ya kwenda VETA Hana
Kila level ya elimu Ina nafasi yake kwenye kujenga uchumi, lazima kuwa na diversion ya vitu mbalimbali, hata hao wa veta wako wengi hamna shughuli KWA sasa uchumi ume paralyze, ndo hao wamekimbilia boda boda nako zimekuwa nyingi Hadi wanakosa wateja
 
Kila shule iwe technical school Kama IYUNGA,ifunda , TANGA tech,mtwara tech nakadhalika

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hichi ndicho namaanisha.
Mtoto akitoka chuo aweze.kufanya kazi za kujitegemea Kama akilpata ajra sawa.akikosa Basi aendelee na fani zake.mimi nauza duka.lakini nilisoma umeme pale lugalo jeshini.
So Hana nina ufundi wa umeme.siku yoyote kibarua kikiota nyasi naweza nikajichanganya na mafundi umeme maisha yakasonga.
Pia Nina uwezo wa kufunga madishi.
Kila shule iwe technical school Kama IYUNGA,ifunda , TANGA tech,mtwara tech nakadhalika

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ukisema mtu katoka Veta.
Alafu Hana kazi nitakushangaa.
Maana Veta NI UJUZI.
Hauitaji kuajiliwa.
Sasa ninyi endeleeni kushindana na watoto wa kimei.wakati wenzenu hata wasipokuwa na kazi wanaishi.
Mtoto wa masikini hata hyo hela ya kwenda VETA Hana
Hivi unajua maana ya kazi au unafikiria kuajiriwa tu, Kuna waliotoka veta fundi ujenzi Ila watu hawajengi Kuna mafundi wa kupika na ku decorate event's Ila watu hawafanyi ma part hela hamna, mtu anayeshona je? Ana ujuzi shida purchasing power ndogo hapo Nani alaumiwe, hafu ku discuss future ya kizazi kijacho sio mashinsano na wakionacho. Huyo kimei Kama kavimbiwa na wanawe wanafanya kaxi why a suggest utopolo good leader hu lead KWA example jesca mwenyewe elimu ya kuinga Ila kapewa connection Yuko kazini. So usiwaone watanzania wanao hustle mtaani bila mbeleko ni wajinga na hawana akili aisee. Ukiwa unakula na umebarikiwa mshukuru Mungu sio kuona wengine hawana akili ni Bora kufunga bakuli lako
 
Ufundi simu na umakenika wa siku hizi hauhitaji kufundishwa shuleni. Besides hata waalimu wa kufundisha wako wapi basi maana hawa waliopo wengi hata hivyo wanavyofundisha kwa sasa hawavijui wanababaisha tu.
 
Dada UJUZI HAUOZI.ipo siku tu.kitatokea kimeo
 
Kwa hyo una shauri nini.
Tuendelee na mitaala yetu mtoto akitoka shule asubiri kuajiliwa?
Ufundi simu na umakenika wa siku hizi hauhitaji kufundishwa shuleni. Besides hata waalimu wa kufundisha wako wapi basi maana hawa waliopo wengi hata hivyo wanavyofundisha kwa sasa hawavijui wanababaisha tu.
 
Hivi dea jesca anafanya kazi gan now? Hebu nambie huyu mzamiaji wa UDOM. Maisha hayako fair.
 
sasa limu ya diploma kuna tofautigani na degree yaani hata sijaelewa hoja yako inahusu nini.
 
Goal sio kazi Bali kazi yenye maslahi kama kazi zipo nyingi tu za viwandani, kuuza karanga, mihogo nk huitaji elimu wala ufundi kuwa na kazi na kingine jua kila mtu duniani lazima awe na kazi na kama hana atapata suala hiyo kazi ina maslahi kihasi gani sasa wewe mpeleke ufundi vitasa mwanao this is generation poverty.
 
Mwenye ile picha Dr.Kimei anapewa zindiko ili apate ubunge aitume hapa tafadhali
 
Ukisema mtu katoka Veta.
Alafu Hana kazi nitakushangaa.
Maana Veta NI UJUZI.
Hauitaji kuajiliwa.
Sasa ninyi endeleeni kushindana na watoto wa kimei.wakati wenzenu hata wasipokuwa na kazi wanaishi.
Mtoto wa masikini hata hyo hela ya kwenda VETA Hana
 
kuna vitu viwili vya muhimu sana ktk dunia hii ukiwa na ELIMU + MONEY = YOU'LL BE ABOVE ALL
EDUCATION +ZERO MONEY = LIFE OF FAITH AND HOPE , ZERO EDUCATION+MONEY = YOU'LL GET SAME +ZERO CONFIDENCE , ZERO MONEY +ZERO EDUCATION= AISE HAPA UR NO BODY ..................................................................
 
Dada UJUZI HAUOZI.ipo siku tu.kitatokea kimeo
Ndio nasema usijaji watu, ka una neema mshukuru Mungu sisi tulioko mtaani tunaishi changanyikeni ndo tunajua uhalisia wa maisha ya watanzania na hamna asiyependa kufanya kazi maana informal sector ndo imeajiri watanzania wengi kuliko formal sector.
 
Hivi dea jesca anafanya kazi gan now? Hebu nambie huyu mzamiaji wa UDOM. Maisha hayako fair.
Mwenzangu jesca naskia alishamaliza udom na amepata kazi nzuri tu huko anafanya zake kimya kimya sie watoto wa wakulima tuendelee kujifunza kutengeneza simu na fundi mchundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…