Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Actually hujajibu hoja yangu ulichofanya ni kuzunguka pale pale kwenye kuona kujiajiri ni kitu chepeai Sana

Mi nimekuuliza hyo gereji ataifungua chini ya mti bila vifaa?!

Kujiajiri ni kazi km kazi nyingine inastahili kuheshiwa na Pia ina misingi yake lazima ufuatwe

Unachokieleza hpa ni km enzi zilw MTU akifeli mtihani form four anaambiwa aende upolisi au jeshni

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kuna makampuni mengi tu.yanatafuta madereva.
Tatizo labda awe Hana hela ya kuhonga
 
Vipi Kama ungepata ujuzi wako ukiwa shuleni nje ya ulichosomea si kingekusaidia.?
Sasa hivi so ungekuwa unashona cherehani
Ndio nasema usijaji watu, ka una neema mshukuru Mungu sisi tulioko mtaani tunaishi changanyikeni ndo tunajua uhalisia wa maisha ya watanzania na hamna asiyependa kufanya kazi maana informal sector ndo imeajiri watanzania wengi kuliko formal sector.
 
Tatizo letu wabongo kila mtu anapenda aonekane ni great thinker ndio maana mtu yuko radhi kushauri hata upupu, mfano huyu kimei yeye kwenye historia yake ya elimu amewahi kusomea huo umakenika au ufundi simu?
 
Ndio nasema usijaji watu, ka una neema mshukuru Mungu sisi tulioko mtaani tunaishi changanyikeni ndo tunajua uhalisia wa maisha ya watanzania na hamna asiyependa kufanya kazi maana informal sector ndo imeajiri watanzania wengi kuliko formal sector.
Hawawezi elewaa...
 
Duuuuu!

Unaona sasa ?

Bachelors UK

Masters USA

Yeye mwenyewe Kimei ana PhD

Sisi Chakubangas of the world ndio watoto wetu tukawasomesheb ku flashi simu na kubadilisha system charge...
 
haya majitu ni machawi kabisa. Lenyewe limezoa mahela huko CRDB, na katili la katiba limezoa mahela huko bunge watoto wako Ulaya, leo linasema watoto wetu wawe mafundi simu, stupid burger!
 
Kazi ya mwalimu wa Chuo kikuu siyo Teaching ni lecturing ndiyo maana pedagogy skills haihitajiki sana.

Tatizo linakuja walimu wengi wa vyuo vikuu wanafanya Teaching badala ya lecturing.
Naomba uangalie meaning ya pedagogy ni nini. Mimi si mwalimu lakini nilisomea as an addition ualimu yet am a certified trainer and facilitator. I have trained and mentored many na wote wamerise to key positions in organizations na hata nawaandalia succession plans ambazo zinakuja kuwa effective. Sasa hao wa kufanya teaching chuo kikuu niambie wangapi walipitia kozi ya ualimu….you will be surprised. Chuo haupaswi hata kulecture (it is a small part) tu na ndio maana ukiwa na pedagogy skills you will know which approach to apply under what learning environment.
 
Huwezi kusikiliza takataka
 
Theories za darasani hizo, tumesoma sana pedagogy of education......
 
Mwenzangu jesca naskia alishamaliza udom na amepata kazi nzuri tu huko anafanya zake kimya kimya sie watoto wa wakulima tuendelee kujifunza kutengeneza simu na fundi mchundo
Jessica ana MA ya Human Resources na anafanyakazi REA.
 
Theories za darasani hizo, tumesoma sana pedagogy of education......
Then naamini unazielewa the core skills za pedagogy ikiwemo critical thinking, creativity na collaborative learning approaches ambazo siyo theories. Na ndo maana mfumo wetu wa elimu hadi chuo inakufundisha theory tu.

Kwenye Pedagogy skills ndo maana wenzetu wanawaelewa wanafunzi na kuappy correct learning approach. Kuna home schooling, Montessori, IB options pia.
 
Mwenye ile picha Dr.Kimei anapewa zindiko ili apate ubunge aitume hapa tafadhali
Hiyo picha haipo. Hajaingia Bungeni kwa ajili ya kutafuta maisha, ameingia kwa ajli ya kuwatumikia watu maskini anaoona wanahitaji mchango wake katika maisha yao. Kwa hiyo hana haja ya kutumia zindiko kupata Ubunge kwa sababu maisha tayari anayo. Anachohitjai kwa sasa ni ku-share na watu maskini, kile kidogo cha kwake alichonacho akiongezea na kile atakachokuwa anapata kupitia kwenye ubunge
 
haya majitu ni machawi kabisa. Lenyewe limezoa mahela huko CRDB, na katili la katiba limezoa mahela huko bunge watoto wako Ulaya, leo linasema watoto wetu wawe mafundi simu, stupid burger!
Aachie huo mshahara awape vijana mtaji kwa miaka yake mitano maana anasema anaenda bungeni kuwakilisha wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…