Actually hujajibu hoja yangu ulichofanya ni kuzunguka pale pale kwenye kuona kujiajiri ni kitu chepeai SanaFUNDI NI ZAIDI YA KUJIAJIRI.
ufundi hauitaji uwe na msingi.lakini biashara inahitaji uwe na msingi.
mtoto akimaliza shule akakosa ajira.
Atakuwa na FANI YAKE YA UFUNDI.
sio lazma mtoto atoke chuo alafu aende veta.
Ikiwezekana mtoto akitoka chuo aweze kuendesha hata magari.
Mbona NI elimu inayochukua muda mfupi.
Hivi vitu vyote anatakiwa awe NAVYO maishani.
Mi nimekuuliza hyo gereji ataifungua chini ya mti bila vifaa?!
Kujiajiri ni kazi km kazi nyingine inastahili kuheshiwa na Pia ina misingi yake lazima ufuatwe
Unachokieleza hpa ni km enzi zilw MTU akifeli mtihani form four anaambiwa aende upolisi au jeshni
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app