TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Poleni wafiwa.

Hivi Dr Kinabo huyu, ni ndugu na Dr Kinabo wa UDSM na Prof. Kinabo aliekuwapo UDOM miaka ya 2010 na kuendelea?

Kama ni ndugu basi huu uko upo vizuri kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Terrible Teen, Hata Bwana Yesu alipoona hatumuelewi sisi wanadamu na akiwa kijana bado alipaa zake mbinguni pekee yake kwa hiyo acha kututisha paa uende zako ukakae salama
 
Corona inafanya finishing ndugu yangu acha kubisha bisha vitu usivyovijua, pumzika nyumbani au Covid-19 ikakupumzishe kaburini. Period
Period mamako mshenz ww

Sent by IPhone
 
Mpumbavu mamako mshenz ww

Sent by IPhone
 
May his soul rest in eternal peace.
Namkumbuka wakati anafanya Residency yake KCMC (MMed Internal Medicine) miaka kadhaa iliyopita, mimi ndo nilikua nafanya MD; Alikua mwalimu mzuri sana kwetu undergraduates, nakumbuka pindi moja alitufundisha Diabetes mellitus, it was a very very good session. Alikua anaweza kuelekeza concept kiurahisi hadi mtu unaielewa. He was also very humble.
 
OMG, huyu dakitari aliwahi kumtibu mume wangu. RIP[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kafariki kwa Corona pia ni uzembe wake kwa maana tunaamini Daktari anauwezo mkubwa zaidi wa kukwepana na magonjwa kama hayo. Kaa sisi si ajabu maana hatuna clues kama wabobevu. RIP shemeji yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…