Dkt. Kitima: Baba Mtakatifu ametutaka tufuate ushauri wa Wanasayansi kuhusu ugunduzi wa chanjo

Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Dkt. Charles Kitima akiongea na BBC amesema Baba Mtakatifu ambaye ndio mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francisco amewataka kupokea ushauri wa wanasayansi kuhusiana na ugunduzi wa chanjo za Corona.

Dkt. Kitima amesema wao kama Kanisa watachukua tahadhari kama Mataifa yaliyoendelea yafanyavyo ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa na kunawa mikono.

Fr. Kitima amesema kwa sasa wazee wengi wameacha kuhudhuria ibadani wakihofu maambukizi ya Corona.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Dr Kitima tangaza lockdown kwa familia yako!! Hata Mungu naona humjui!! Katika kauli zako zote hakuna mahali unamtaja Mungu! Unafuata mataifa yaliyoendelea (yaliyogalagazwa na corona badala ya kumfuata Mungu!!). Namshukuru Mungu mimi siyo muumini wako!
 
Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Dkt. Charles Kitima akiongea na BBC amesema Baba Mtakatifu ambaye ndio mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francisco amewataka kupokea ushauri wa wanasayansi kuhusiana na ugunduzi wa chanjo za Corona.

Dkt. Kitima amesema wao kama Kanisa watachukua tahadhari kama Mataifa yaliyoendelea yafanyavyo ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa na kunawa mikono.

Fr. Kitima amesema kwa sasa wazee wengi wameacha kuhudhuria ibadani wakihofu maambukizi ya Corona.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Duh.
 
Back
Top Bottom