Dkt. Kitima: Baba Mtakatifu ametutaka tufuate ushauri wa Wanasayansi kuhusu ugunduzi wa chanjo

Dkt. Kitima: Baba Mtakatifu ametutaka tufuate ushauri wa Wanasayansi kuhusu ugunduzi wa chanjo

Hii chanjo magumashi naona imeanza kuungwa mkono na vigogo wa dunia, akili kichwani...
 
Reasonable time ni kabla ugonjwa haujaleta vifo au madhara makubwa
Hapa reasonable time inayo ongelewa ya kusema dawa au chanjo inapatikana.

Ukizungumzia madhara wakati kwa ku developed dawa yenye side effects inakuwa ni kutengeneza tatizo jingine.
 
Una hamu ya cha
Corona ni kirusi, ni kweli kipo.

Huyu kirusi ni kweli anashambulia mfumo wa hewa, na akifika kwenye mapafu ndio hali inakuwa mbaya zaidi.

Mwanzo top layer leaders walituambia corona ipo hata kwenye mapapai, kwa mbuzi n.k. Hivyo tusiiogope, lkn tulichukua tahadhari zote kasoro lockdown.

Safari hii tumeibuka na mambo ya chanjo, kwamba wazungu hawana nia nzuri na sisi.

Mimi niwaulize tu watz wenzangu, msimamo wa top layer wetu ni upi hasa, maana naona kuna kujikanganya kwingi.
Njo
 
Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Dkt. Charles Kitima akiongea na BBC amesema Baba Mtakatifu ambaye ndio mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francisco amewataka kupokea ushauri wa wanasayansi kuhusiana na ugunduzi wa chanjo za Corona.

Dkt. Kitima amesema wao kama Kanisa watachukua tahadhari kama Mataifa yaliyoendelea yafanyavyo ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa na kunawa mikono.

Fr. Kitima amesema kwa sasa wazee wengi wameacha kuhudhuria ibadani wakihofu maambukizi ya Corona.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

Maendeleo hayana vyama!
Tumuombee Fr Kitima, ni kazi yake. Kwanza alisema ni Waraka wa Askofu Mkuu Nyaisonga kwa mababa wenzake TEC, kwamba tusipanic tuendelee kujiweka kwa Mungu na kuchukua tahadhari zote kama zamsni. Pili kasema Kanisa linazika mtu mmoja kila siku, unlike ilivyokwa mwanzo. Sikuelewa hii ilikuwa jinya nini khasa. Sasa kasema kunde ni Papa ndiye aliyesema. Yote inawezekana yakawa sawa, lakini bado la muhimu tumtegemee Mungu. Ila, tusiombe lockdown itatumaliza. Na hizi chanjo hatujui kama zina nia njema. Papa alisemaje tulipofunga siku 3 wakristo wote na waislamu wote na watu wengine wote? Au hakuambiwa? Halafu Pd Kitima alisema CCM mbona hawashangilii ushindi? Meaning waliiba kura alivyodai tundulissu.
 
Huyu kitima na rafiki wa Jiwe , Jiwe kaona mambo magumu huko tuendako kaamua kumtumia kijanja kufikisha ujumbe , Zanzimana anaona aibu kukubali ugonjwa upo ilihali alishapinga kitambo hadharani .
 
Huyu huyu kutwa anabadilisha maamuzi kwenye kanisa?!
Mburaaa, atuache, mwambie aendelee huko huko Vatican na watu wake.
 
Kwani ni nani aliyekuwa amewazuia kuchukua tahadhari? Hata kuvaa barakoa na kunawa mikono mnasubiri mpaka yule wa vatican aseme!! Shame on you!!!
 
Kwahiyo mmekosa sadaka za wazee?? Si mfanye kazi za uselemala kama bwanamkubwa...nyauu we
 
  • AMESEMAJE KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA?
  • AMESEMAJE KUHUSU TUHUMA KUWA KOFIA YAKE INA NAMBA 666?
  • AMESEMAJE KUHUSU MPINGA KRISTO ATATOKEA WAPI?
  • ANASEMAJE KUHUSU MAPADRI NA WATAWA WANAOKUFA NA UKIMWI?
  • ANASEMAJE KUHUSU MAPADRI WANAOLAWITI WATOTO?
  • ANASEMAJE KUHUSU MASISTA WANAOTOA MIMBA KILA KUKICHA?
  • ANASEMAJE KUHUSU MAPADRI NA MA SISTA WALIOZAA WAKAFICHA WATOTO KWENYE VITUO VYA WATOTO YATIMA nk

Akijibu mnistue bwasheeee!
 
Unapongeza kitu usichokijua, ni akiri za utaahila kupongeza bila kutumia akiri vizuri.
Umewahi kufika kanisanai wewe au unapongeza mambo ya mtu wenu wa chadema anayosema bila kutafakari?

Ni tofauti na yanayoendelea kanisani.
Watu wanakaa kwa ukaribu na kunawa hawalazimishwi, sacramenti zinashikwa bila vishikio, je hao makasisi nani anajua kama wao hawana magonjwa?

Kitima atangaze kufunga kanisa ila kwa hayo maigizo ni kazi bure. Vinginevyo wapewe kadi watu za kuingia ibadani.
Mimi nasali kila j pili lakini tunabanana baenchi moja watu 7 wakati kwa tahadhali ilitakiwa 3 au 2 sasa hapo distance iko wapi?
 
Baba mtakatifu huyohuyo akakataa ushauri wa wanasayansi kuhusu social distancing alipokuwa Iraq akidai hawezi kujiweka mbali na watu wake, did you hear that?
 
Ohooo maneno ya chanjo tena kutoka kwa Papa ndio yanamfanya Meko asiende kanisani wiki ya pili sasa
 
Hivi namuliza maswali huyu bw. Kitime:
1. Hawa wazungu wameshatuweka kwenye utumwa wa madeniiii makubwa sana.
2. Wameshatufanya watumwa kwa miaka mingi kwa kushirikiana na hilo kanisa katoliki.
3. Leo hii wamepata wapi huo upendo wa kutukinga na huo ugonjwa wao.
( Sisi ni nyungu na dini zetu za asili tuuu)
4. Kama yeye kitime na huyo baba yake mtakatifu wapigwe hizo chanjo na wale kondoo ambao bado wamelala waende wakipigwe hizo chanjo zao.
5. Jamani hivi huyu bw. Kitime: anamsikiza huyo baba mtakatifu wake kama mzee wake. Jamani tunaenda wapi: badala tusikilize wazee wetu wenye hekima na weusi. Tunakimbilia wazee weupe?????
6. Jamani tumlinde magufuli sana. Kwa kutumia dawa zetu za asili na mizimu yetu.
chanjo ni hatari. Nyungu ni salama. Uzalendo ni maisha. Maisha ni kujilinda.
 
Fr. Kitima ni mojawapo ya Mapadre wakweli na watiifu kwa KANISA. Mungu akubariki baba askofu mtarajiwa wa Jimbo la .....
Huyo padri wako mnafiki sana. Anataka kuuwa watu weusi. Unaambia adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi. Hivi Magufuli(mzee mweusi) anasema hizo chanjo si salama. Kitime na huyo baba yake mtakatifu(mzee mweupe) wanasema tumwamini mzee mweupe. Mimi nitake my chances kwa kumsikiliza mzee mweusi(magufuli).
watu weupe wameshatuletea magonjwa mengi kutumaliza: ukimwi malaria, cancer, kisukari,....mbona hawatupi dawa za haya magonjwa?????? Eti chanjo ya mafua. Wakapigane hizo chanjo wenyewe. Sisi ni nyungu tuuuu..
 
Chanjo bado haija gunduliwa bali ipo kwenye majaribio, hivyo sasa hivi tusubiri tupate herd immunity, haya ni Maneno ya Belinda Gates
 
Back
Top Bottom