Waziri anasema hakuna wakati raisi anaema walioenda kuchanjwa wamerudi na korona mpyaPongezi kwa Kanisa Katoliki kwa kuamua kujitofautisha na wanasiasa maana wanasiasa wetu misimano yao haieleweki, haipo, ipo kidogo, hakuna...
Utadhani Corona imekuwa ugonjwa unaosababishwa na hali ya hewa, ukidhani mvua itanyesha then wingu likitawanyika hainyeshi tena.