Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Huyo aitwaye Baba mtakatifu ndiyo solution ya matatizo yetu, kwa hiyo sasa tunapokea maagizo kutoka Roma? Huyo aitwaye Baba Mtakatifu ni mtakatifu kwa nani? Na kauli zake ni takatifu kwa nani? Je! Yeye ndiye dira ya watanzania?
Tunawaomba waroma mutuache watanzania tuitafute sura ya Mungu wetu anayepaswa kuabudiwa, maana amelaaniwa mtu yule, amtumainiye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake na huku amemwacha Bwana. Maana atakuwa kama fukara nyikani.
Huyo ambaye ninyi mnamuona kuwa mtakatifu na kauli zake takatifu, asiwe mtakatifu wa taifa la Tanzania Bali wa huo utakatifu wake na watu wake wenye kuamini katika yeye.