Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Sikujua! Ahsante kwa kunijuza.Ni kweli uliandika Mungu, isipokuwa impliedly ukiandika roho mtakatifu ni sawa na kusema umeandika neno mungu, na ukiandika Roho Mtakatifu ni sawa na kusema umeandika Mungu
Mungu wa ufipani.Mungu kalazwa Nairobi.
Kwahiyo huyo naye ni mtume na nabiii tena??Mungu anasema kupitia Mitume wake.
OyeeeeeBaba mtakatifu utuache...hatutaki chanjo wala barakoa ...wazungu wanataka kutuua wote ili wachimbe madini yetu!! Sisi ni matajiri mno...Tumeshastuka...
CCM oyeeee!!
At last ukweli huwa unashinda 🤣 🤣Haya sasa, Tumerudi kwenye Sayansi
Ukweli hukawia tu, lakini hatimaye hujitokezaAt last ukweli huwa unashinda [emoji1787] [emoji1787]
Dr Kitima tangaza lockdown kwa familia yako!! Hata Mungu naona humjui!! Katika kauli zako zote hakuna mahali unamtaja Mungu! Unafuata mataifa yaliyoendelea (yaliyogalagazwa na corona badala ya kumfuata Mungu!!). Namshukuru Mungu mimi siyo muumini wako!Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Dkt. Charles Kitima akiongea na BBC amesema Baba Mtakatifu ambaye ndio mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francisco amewataka kupokea ushauri wa wanasayansi kuhusiana na ugunduzi wa chanjo za Corona.
Dkt. Kitima amesema wao kama Kanisa watachukua tahadhari kama Mataifa yaliyoendelea yafanyavyo ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa na kunawa mikono.
Fr. Kitima amesema kwa sasa wazee wengi wameacha kuhudhuria ibadani wakihofu maambukizi ya Corona.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Duh.Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Dkt. Charles Kitima akiongea na BBC amesema Baba Mtakatifu ambaye ndio mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francisco amewataka kupokea ushauri wa wanasayansi kuhusiana na ugunduzi wa chanjo za Corona.
Dkt. Kitima amesema wao kama Kanisa watachukua tahadhari kama Mataifa yaliyoendelea yafanyavyo ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa na kunawa mikono.
Fr. Kitima amesema kwa sasa wazee wengi wameacha kuhudhuria ibadani wakihofu maambukizi ya Corona.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Nakazia