Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
jamaa atakua hakataliwi na mwanamke yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha bingwa wa majadiliano eee unaweza kuta ndio Domo zege la kutupwajamaa atakua hakataliwi na mwanamke yeyote
Hahaha bingwa wa majadiliano eee unaweza kuta ndio Domo zege la kutupwa
TMHivi huyu Dkt. Leonard Chamuriho kasomea wapi huo utaalam wa negotiation? Huyu si alikuwa Coet Computer Lab kama Lab Technician tu? Au A207 kusimamia installation ya OS tu? Huo utaalamu kautolea wapi?
Mbali na kanuni hizo za kufuata kwenye majadiliano, muhimu kuliko vyote ni kuwa mtu anatakiwa kuwa ni mtaalamu kwenye theme ya majadiliano. Zaidi anatakiwa kuwa ni mtua anayejua kujenga hoja, na ni fluent katika kuongea. Mtu mwenye kigugumizi (stammering) naweza akawa hafai sana kwenye majadiliano ya namna hii, ijapokuwa aweza kuwa mtaalamu1. Maandalizi
2. Majadiliano
3. Kutanabaisha malengo ya majadiliano.
4. Kuafikiana kuelekea kila mtu kushinda kwa upande wake yaani "win-win outcome"
5. Makubaliano yaani agreement
6. Utekelezaji wa hatua za makubaliano.
Sawasawa naona umeongelea vipengele namba 1 na 2 yaani maandalizi na majadiliano.Mbali na kanuni hizo za kufuata kwenye majadiliano, muhimu kuliko vyote ni kuwa mtu anatakiwa kuwa ni mtaalamu kwenye theme ya majadiliano. Zaidi anatakiwa kuwa ni mtua anayejua kujenga hoja, na ni fluent katika kuongea. Mtu mwenye kigugumizi (stammering) naweza akawa hafai sana kwenye majadiliano ya namna hii, ijapokuwa aweza kuwa mtaalamu
Ninachokiona mimi kwenye eneo hili, huhitaji kuwa na special qualities sana kuweza kufanya majadiliano, isipokuwa kikubwa zaidi kinachohitajika ni thorough knowledge ya kile kinachohitajika kujadiliwa, halafu uongezee na uwezo wa kujenga hoja pamoja na fluency katika kuongea.
Ukiwa ni expert kwenye area fulani halafu ukampa mtu sahihi theme ya majadala unaotkaiwa kufanyika kwenye eneo hilo, halafu ukambrush na mambo muhimu kwenye eneo hilo, anweza kujadili tena bila wasiwasi, unless mjadala uwe ni too technical kama ule uliohusu mambo ya Makinikia, kwamba lazima kuwe na wataalaum wa kujua hata compotion ya chemical element zinaunda mwamba
Big up sana Dr. Chamuliho. Hata hivyo huyu mjukuu wangu ametulia sana kwa hiyo atakuwa ni mahiri kwa mambo mengi tu na si katika hilo la mjadala tu. Halafu ana sauti nzuri nzito utafikiri anaongea kwa kutumia speaker. I like the man
Unahili kitu hatari sana yani ujumbe wa mtu 100 vs 15 tena hayo majamaa yana akili na exposure yakufa mtu. Jaman tumeliwa sorry kisema hivyo.Raisi John Magufuli alitoa hotuba ya kuzungumzia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa Stiegler Gorge kwenye mto Rufiji.
Kwenye hafla hiyo Misri wamekuja na wajumbe zaidi ya 100 wakiongozwa na waziri mkuu wao pamoja na wawakilishi wa kampuni ya Arab Contractors ambao ndo watakaojenga bwawa la Stigler Gorge.
Kwa mujibu wa raisi John Magufuli mwenyewe, mazungumzo kati ya pande mbili za Tanzania na Misri yalikuwa ni mazito na yalochukua muda kuyamalza hadi kufikia makubaliano.
Kwenye mazungumzo hayo Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na ujumbe wa watu wasozidi 15 ambao ni raisi mwenyewe aliwachagua kwa kushirikiana na waziri wa ujenzi.
Mwenyekiti wa timu ya Tanzania ni Dr Leonard Chamuriho ambae ni katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi.
Ndani ya timu ya Tanzania kuna wajumbe kutoka TANROAD, Tanesco, Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, Hazina, TRA. wizara ya nishati, Ofisi ya raisi (bwana H. Ubwa) na ofisi ya Mazingira.
Hawa ni wataalam wa ujenzi, wataalam wa nishati ya umeme, sheria, usalama, fedha na mazngira.
Lakini mwenyekiti wa timu hii bwana Leonard Chamuriho nde mtaalam wa kufanya mazungumzo yaani Negotiation Expert.
Jambo jingine lilillojenga udadisi ni kusikia kwamba Dr Chamuriho ndie alieshiriki kufanikisha ununuzi na uletwaji wa ndege mpya za ATCL nchini Tanzania.
Pia Dr Chamuriho ameshiriki kwenye mazungumzo ya kujenga reli ya umeme ya Standard Gauge Railways kama mtaalam wa kufanya mazungumzo yaani Negotiation Expert.
NI jambo la kujivunia kuona kwamba nchi yetu inao wataalam ambao wanaweza kufanikisha mambo mengi ya kuleta tija kwa taifa letu.
Ni vizuri nchi yetu inawatunza watu wa aina hii na kuwawezesha kuachia ujuzi wao kwa vizazi vijavyo ili kuiwezesha nchi yetu kufikia kwenye nchi khasa ya asali na maziwa.
Nini maana ya "Negotiation" yaani mazumgumzo baina ya pande mbili?
Hii ni njia ya kufanya nazungumzo maalum ambayo yanalenga kufikia makubaliano ili kuondoa tofauti.
Ni utaratibu ambapo makubaliano au muafaka unafikiwa huku migongano na kutoafikiana vikiondolewa na kisha kusaini makubaliano hayo kisheria mbele ya mashahidi.
Kama hakutakuwa na kukubaliana basi wahusika wa mazungumzo hayo huendelea kufanya vikao kwa malengo ya kufikia muafaka ambao unanufaisha pande zote mbili.
Cha msingi katika kufanya mazungumzo hayo ni kuwepo kwa usawa yaani fairness, kila mmoja kunufaika, na kuendeleza ushirikiano.
Hivyo Tanzania na Misri zitaendeleza ushirikiano baina yao na kuhakikisha ujenzi wa bwawa la Stigler Gorge linamalizwa kwa kuda ulokusudiwa.
Utaratibu wa kufanya mazungumzo yaani Process of negotiation.
1. Maandalizi
2. Majadiliano
3. Kutanabaisha malengo ya majadiliano.
4. Kuafikiana kuelekea kila mtu kushinda kwa upande wake yaani "win-win outcome"
5. Makubaliano yaani agreement
6. Utekelezaji wa hatua za makubaliano.
Kuna wakati majadiliano huwa ni aina mbili yaani formal na informal kwamba pande mbili zinaweza kuamu kuzungumzia mambo yanayojadiliwa nje ya vikao au ndani ya vikao au ikawa ni siri kabisa.
Ila inapotokea kunakuwa na kutokukubaliana (suala la Acacia) basi hatua hizo hapo juu katika utaratibu mzima wa mazungumzo zinaachwa pembeni na kunabakia kwenye namba 2 yaani majadiliano ambayi huwezi kuchukua muda mrefu.
Dr Leonard Chamuriho anao ujuzi wa kufanya mazungumzo yaani kwa kiingereza twasema "he has negotiation skills" ambazo ni adimu sana.
Kitendo cha raisi John Magufuli kumtaja bwana Leonard Chamuriho kwamba aliihusika na mazungumzo iya ununuzi wa ndege na pia ujenzi wa reli ya Standard gauge na sasa kuhusika na mazungumzoi ya ujenzi wa hili bwawa na Stigler Gauge, hilo ni jambo jema kwamba nchi yetu inao wataalam.
Ningependa kufahamu je wataalam kama hawa ambao mara nyingi ni wachache kuwa nao hupatikana wapi?
Je, Tanzania inao wataalam wa kutosha wa kufanya mazungumzo kuhusu miradi mikubwa ya serikali?
Je miaka yote hiyo wataalam hawa walikuwa wapi?
Na kama Dr Chamuriho ni katibu mkuu wa wizara kwanini asiwe na ofisi maalum na akawa ana wigo mpana zaidi ambao utamwezesha kuajiri vijana ambao wana utaalam wa kufanya mazungumzo?
hata mimi ningeweza ni vile tu idadi ilitoshaRaisi John Magufuli alitoa hotuba ya kuzungumzia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa Stiegler Gorge kwenye mto Rufiji.

Nashukuru kwa ufafanuzi huu. Actually hizi ni mbinu za kufanya majadiliano, na orodha iliyoko kwenye post yako yenyewe ndiyo inayobeba utaratibu wa namna ambavyo majadiliano yanatakiwa kufanyikaSawasawa naona umeongelea vipengele namba 1 na 2 yaani maandalizi na majadiliano.
1. Thorough knowledge, theme ya mjadala na vipo katika sehemu ya maandalizi kwani watakiwa kuwa ushajitosheleza kwa hayo.
2. Kujenga hoja na kuwa "fluent" ni sehemu ya kuwa na hizo "negotiating skills" katika majadiliano yenyewe.
Hamna lolote kwenye masifa hayo zaidi ya kuwa mkusanya RUSHWA ya Meko itokanayo na miradi. Abishe kama hakuchukua mzigo wa BoeingRaisi John Magufuli alitoa hotuba ya kuzungumzia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa Stiegler Gorge kwenye mto Rufiji.
Kwenye hafla hiyo Misri wamekuja na wajumbe zaidi ya 100 wakiongozwa na waziri mkuu wao pamoja na wawakilishi wa kampuni ya Arab Contractors ambao ndo watakaojenga bwawa la Stigler Gorge.
Kwa mujibu wa raisi John Magufuli mwenyewe, mazungumzo kati ya pande mbili za Tanzania na Misri yalikuwa ni mazito na yalochukua muda kuyamalza hadi kufikia makubaliano.
Kwenye mazungumzo hayo Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na ujumbe wa watu wasozidi 15 ambao ni raisi mwenyewe aliwachagua kwa kushirikiana na waziri wa ujenzi.
Mwenyekiti wa timu ya Tanzania ni Dr Leonard Chamuriho ambae ni katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi.
Ndani ya timu ya Tanzania kuna wajumbe kutoka TANROAD, Tanesco, Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, Hazina, TRA. wizara ya nishati, Ofisi ya raisi (bwana H. Ubwa) na ofisi ya Mazingira.
Hawa ni wataalam wa ujenzi, wataalam wa nishati ya umeme, sheria, usalama, fedha na mazngira.
Lakini mwenyekiti wa timu hii bwana Leonard Chamuriho nde mtaalam wa kufanya mazungumzo yaani Negotiation Expert.
Jambo jingine lilillojenga udadisi ni kusikia kwamba Dr Chamuriho ndie alieshiriki kufanikisha ununuzi na uletwaji wa ndege mpya za ATCL nchini Tanzania.
Pia Dr Chamuriho ameshiriki kwenye mazungumzo ya kujenga reli ya umeme ya Standard Gauge Railways kama mtaalam wa kufanya mazungumzo yaani Negotiation Expert.
NI jambo la kujivunia kuona kwamba nchi yetu inao wataalam ambao wanaweza kufanikisha mambo mengi ya kuleta tija kwa taifa letu.
Ni vizuri nchi yetu inawatunza watu wa aina hii na kuwawezesha kuachia ujuzi wao kwa vizazi vijavyo ili kuiwezesha nchi yetu kufikia kwenye nchi khasa ya asali na maziwa.
Nini maana ya "Negotiation" yaani mazumgumzo baina ya pande mbili?
Hii ni njia ya kufanya nazungumzo maalum ambayo yanalenga kufikia makubaliano ili kuondoa tofauti.
Ni utaratibu ambapo makubaliano au muafaka unafikiwa huku migongano na kutoafikiana vikiondolewa na kisha kusaini makubaliano hayo kisheria mbele ya mashahidi.
Kama hakutakuwa na kukubaliana basi wahusika wa mazungumzo hayo huendelea kufanya vikao kwa malengo ya kufikia muafaka ambao unanufaisha pande zote mbili.
Cha msingi katika kufanya mazungumzo hayo ni kuwepo kwa usawa yaani fairness, kila mmoja kunufaika, na kuendeleza ushirikiano.
Hivyo Tanzania na Misri zitaendeleza ushirikiano baina yao na kuhakikisha ujenzi wa bwawa la Stigler Gorge linamalizwa kwa kuda ulokusudiwa.
Utaratibu wa kufanya mazungumzo yaani Process of negotiation.
1. Maandalizi
2. Majadiliano
3. Kutanabaisha malengo ya majadiliano.
4. Kuafikiana kuelekea kila mtu kushinda kwa upande wake yaani "win-win outcome"
5. Makubaliano yaani agreement
6. Utekelezaji wa hatua za makubaliano.
Kuna wakati majadiliano huwa ni aina mbili yaani formal na informal kwamba pande mbili zinaweza kuamu kuzungumzia mambo yanayojadiliwa nje ya vikao au ndani ya vikao au ikawa ni siri kabisa.
Ila inapotokea kunakuwa na kutokukubaliana (suala la Acacia) basi hatua hizo hapo juu katika utaratibu mzima wa mazungumzo zinaachwa pembeni na kunabakia kwenye namba 2 yaani majadiliano ambayi huwezi kuchukua muda mrefu.
Dr Leonard Chamuriho anao ujuzi wa kufanya mazungumzo yaani kwa kiingereza twasema "he has negotiation skills" ambazo ni adimu sana.
Kitendo cha raisi John Magufuli kumtaja bwana Leonard Chamuriho kwamba aliihusika na mazungumzo iya ununuzi wa ndege na pia ujenzi wa reli ya Standard gauge na sasa kuhusika na mazungumzoi ya ujenzi wa hili bwawa na Stigler Gauge, hilo ni jambo jema kwamba nchi yetu inao wataalam.
Ningependa kufahamu je wataalam kama hawa ambao mara nyingi ni wachache kuwa nao hupatikana wapi?
Je, Tanzania inao wataalam wa kutosha wa kufanya mazungumzo kuhusu miradi mikubwa ya serikali?
Je miaka yote hiyo wataalam hawa walikuwa wapi?
Na kama Dr Chamuriho ni katibu mkuu wa wizara kwanini asiwe na ofisi maalum na akawa ana wigo mpana zaidi ambao utamwezesha kuajiri vijana ambao wana utaalam wa kufanya mazungumzo?
WAZUNGU HAWATOI RUSHWA, LASIVYO WANGEKUWA WAMEISHAMLIPUA WAKATI WAUCHAGUZIHamna lolote kwenye masifa hayo zaidi ya kuwa mkusanya RUSHWA ya Meko itokanayo na miradi. Abishe kama hakuchukua mzigo wa Boeing
Umepiga penyeweamebobea wapi sasa huyo ni sawa tu na wale maphd wengine kufundisha udsm sio uexpert ni narudio ya tu unalichosomea kila siku kwa wanafunzi ndo maana mohd wengi wamechemka
Labda wewe tu ndiyo hujawahi kupata. Usiwasemee wenzio.WAZUNGU HAWATOI RUSHWA, LASIVYO WANGEKUWA WAMEISHAMLIPUA WAKATI WAUCHAGUZI
Mkuu, usiwalaumu hao jamaa kwa kutokujua kuwa kuna baadhi ya masuala ya kitaifa yanapaswa kujulikana na watu wachache tu.NI wapi hapa duniani umeona wafanya hivyo yaani mwananchi wa kawaida apewa nakala ya mikataba baina ya serikali za nchi mbili?
Hivi huyu Dkt. Leonard Chamuriho kasomea wapi huo utaalam wa negotiation? Huyu si alikuwa Coet Computer Lab kama Lab Technician tu? Au A207 kusimamia installation ya OS tu? Huo utaalamu kautolea wapi?
Yale Yale ya Kabudi na makinikia nayaona tena hapa! Mtu anasifiwa mwisho wa siku anakuja kuitoa nchi marinda bila hata huruma