Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dr. Likwelile muda wowote kuanzia sasa atapandishwa mahakamani Kisutu kujibu mashitaka ya ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka, na kusaidia ukwapuaji wa fedha katika dili mbalimbali.
Taarifa nyeti zinasema tayari uchunguzi ushakamilika na muda si mrefu atapandishwa Kisutu na TAKUKURU. Kumbuka Dr. Likwelile alitenguliwa katika nafasi yake na Rais mzalendo Dr. John Pombe Magufuli..
Mytake: Kama aliiba na apandishwe tu, manake hakuna namna sasa!